Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

#fukuza chuki, visasi vinyongo, visirani na uasi, karibisha upendo, Umoja, na demokrasia ya wote ndani ya Chama!
 
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?

Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?

Hakuna hata kirabsha kidogo ?
Polisi wawepo kwa shida ipi? Chama peaceful

CHADEMA huwepo sababu wao kwa wao waweza twangana .Mfano njombe walimtwanga kiongozi wao Sigrada
 
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?

Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?

Hakuna hata kirabsha kidogo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…