Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!
 
Mwenye pesa hatapeli mtu Lofa Lisu ndio tapeli sio hao wameenda CHAUMMA

Matajiri hao
 
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?

Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?

Hakuna hata kirabsha kidogo ?
Leo hamlali na viatu
 
Tatizo chadema mmeshazoea vita, bila kukimbizana mnaona hamjarizika
 
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?

Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?

Hakuna hata kirabsha kidogo ?
Hivi CHAUMMA wanawaumiza vichwa eeh?
 
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?

Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?

Hakuna hata kirabsha kidogo ?
Punguzeni wenge
 
Hata yule demu wa msajili aliyempangishia apartment Masaki naye alikuwepo.
 
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?

Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?

Hakuna hata kirabsha kidogo ?
Mnahangaika sana na hao jamaa,tulieni na magwanda yenu!
 
Inawatesa saaana
Cha ajabu ni kwamba, CHAUMA wakirusha mawe CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA wanasema CHAUMMA hawatakiwi kupingana na CHADEMA, wapingane na CCM.

Ila bado wafuasi wa CHADEMA wanawatupia mawe CHAUMMA.

What the hell, hawa ni wafuasi wa Chama Cha Demokrasia wasiotaka demokrasia?

Hawa wafuasi wa CHADEMA hawaoni kuwa wanawapa CHAUMMA unnecessary attention na mileage?
 
Yaani kama kuna watu wanaipandisha chati CHAUMMA basi ni CDM ila wao wenyewe hawalioni hilo. Kutwa wanaanzisha nyuzi za CHAUMMA. Mi mpaka mke wangu ameanza kuwa interested na habari za CHAUMMA baada ya kuona habari zao nyingi kutoka kwa wafuasi wa CDM
 
@exmayor_bonifacejacob juzi amesema "Hamna kazi ngumu kama kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Huwa anahisi wewe ndo tapeli. Wahuni wakisham-butua ndo anarudi kwako kwa huzuni na majuto mengi" mwisho wa kunukuu.!
Kama ilivyongumu kumshauri mtu aliyeingia pyramid business au wazee goodmorning unamwambia hapa unapoteza muda hakuelewi anaota utajiri
 
Back
Top Bottom