Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Wanawapandisha chart buree.Yaani kama kuna watu wanaipandisha chati CHAUMMA basi ni CDM ila wao wenyewe hawalioni hilo. Kutwa wanaanzisha nyuzi za CHAUMMA. Mi mpaka mke wangu ameanza kuwa interested na habari za CHAUMMA baada ya kuona habari zao nyingi kutoka kwa wafuasi wa CDM
Na hapo ndipo utajua hwa ni wafuasi empty headed, chama chao kinasimamia demokrasia, watu wakitumia haki zao za kidemojrasia, wafuasi wa CHADEMA wanaona hii ni vita ya vikundi.