Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

Kimalingano

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
709
Reaction score
919
Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali.
SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana.

Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao duniani.

Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Wamasai wa ngorongoro ndio wasomi ukitafute PhD ziko zaidi ya 10 pia degree za kawaida zaidi ya maelfu...hao wanajitambua wamempiga chura mstuko leo atakunywa vodkta mpka alewe
 
Huyo mpaka sasa ana imoji yake hipo google inaitwa Think lucas tako
images (6).jpeg
 
Cha che chi cho chu nyie mjue ukweli huu mnanikera mkisema wamasai this and that halafu serikali haijakaa na kuipa kipaumbele hili suala sijui kama wanaelewa kuwa wamasai nikivutio cha utalii wao wanafanya vitu hawafikirii . Sasa mtalii hawezi kwenda handeni akafuate wamasai lazima aende zanzibar na bado zanzibar wanawafukuza wamasai hivi nyiemnashida gani na wamasai kama sio wivu
 
Wataishi vipi binaadam na wanyama halafu yafanywe maendeleo ya binadam mbugani?

Hawataki shule!

Hawataki hospitali?

Hawataki kilimo?

Hawataki kuongezeka?

Hawataki maduka?

Hawataki viwanja vya michezo?

Wamejazwa ujinga hao?

Ngorongoro ni urithi wa dunia, inatakiwa ibaki na wanyama tu.

Wamasai waingie, wsfanye matambikoyao na kutoka.

Wasituletee ujinga.
 
Back
Top Bottom