Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Wamefunga Barabara za kwenye mbuga ya Ngorongoro na kuzuia watalii kupitaWamefanyaje fanyaje mkuu kina Laigwan
Mungu awatetee wanaoonewa!Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali.
SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana.
Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao duniani.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyangβanywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Wamasai wa ngorongoro ndio wasomi ukitafute PhD ziko zaidi ya 10 pia degree za kawaida zaidi ya maelfu...hao wanajitambua wamempiga chura mstuko leo atakunywa vodkta mpka aleweHiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali.
SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana.
Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao duniani.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyangβanywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Ndio raisi wako. Subiri jioni au usiku sana kukujibu.Huyu maza hashindwiπ
πππππLeo ni Ndugu zetu Wamasai wa mbugani kesho ni sisi wanywa Kahawa wa Temeke.
Nje ya Mada wewe n Robinson wa UB/Kibangu ?Wametumia mbinu gani kwani?