Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko.
Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili.

Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi rasmi na makazi yasiyo rasmi

Haya makazi yasiyo rasmi huweza kuwa ni nyumba ndogo yaani mchepuko,au simply safe house,ambapo hata dereva huenda asipajue,mkuu akiwa na kikao cha siri au mchepuko wake anawasha gari usiku na kuingia ndani,huko kuna mlinzi na mtu wa usafi.

Mambo yote ya ovyo hufanyika huko,iwe mikakati ovu ya kisiasa,michepuko,document za hatari hukaa huko.
Si mke wala watoto wa huyu mwamba hupajua hapa.
.
Polisi kupekua makazi rasmi ni kupotezeana muda mtaambulia kadi za mwaliko wa harusi na barua za kukumbushwa kulipa madeni ya benki,

Hakuna cha maana mtakachoambulia,mnafanya kazi kizamani sana
 
Kwa hiyo wewe ni ndugu mchepuko ndio maana umeijua hiyo siriii amaaa?
 
Kwamba mwanachama wa upinzani tena chama kilichosajiliwa wanakuwa na vitu Gani vya Siri na hatarish kwa taifa hili?

Kuna narratives mnazipambania but not health for the country.....
It's about time and truth shall prevail.....
 
Doc za hatari ni zipi? Hizi zinazorushwa kwenye Twitter?
 
Kwamba mwanachama wa upinzani tena chama kilichosajiliwa wanakuwa na vitu Gani vya Siri na hatarish kwa taifa hili?

Kuna narratives mnazipambania but not health for the country.....
It's about time and truth shall prevail.....
Wengine shida wanatembea na mafuvu tu,ubongo walishaugawa zamaaani.
 
Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko.
Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili.

Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi rasmi na makazi yasiyo rasmi

Haya makazi yasiyo rasmi huweza kuwa ni nyumba ndogo yaani mchepuko,au simply safe house,ambapo hata dereva huenda asipajue,mkuu akiwa na kikao cha siri au mchepuko wake anawasha gari usiku na kuingia ndani,huko kuna mlinzi na mtu wa usafi.

Mambo yote ya ovyo hufanyika huko,iwe mikakati ovu ya kisiasa,michepuko,document za hatari hukaa huko.
Si mke wala watoto wa huyu mwamba hupajua hapa.
.
Polisi kupekua makazi rasmi ni kupotezeana muda mtaambulia kadi za mwaliko wa harusi na barua za kukumbushwa kulipa madeni ya benki,

Hakuna cha maana mtakachoambulia,mnafanya kazi kizamani sana
😅😅😅
 
Waambie wakakague na huko washenzi hao.
 
Umekaa ukajijengea Assumption zako kichwani za uongo na kweli ndo umezileta hapa, hakuna nyumba ya siri watakayo amua kuijua na wasiijue bahati mbaya hata ndani ya chama kuna mamluki kibao na wananafasi kubwa hivyo labda hiyo nyumba uijenge bila kwenda kuisimamia na usiwahi kwenda huko na uijue peke yako ndo wao hawataijua
 
Kufanya Siasa za Upinzani Nchi za Afrika ni kuhatarisha sana maisha yako

Ndiyo maana Viongozi wengi wa Vyama vya Upinzani Kwa kulijua hilo, wamehamishia familia zao Ulaya na Marekani.

Maana watoto wanaweza kuchukuliwa ili kum-blackmail Baba, na ukishindwa kufuata matakwa yao, unaweza kukuta watoto wameuawa
 
Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko.
Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili.

Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi rasmi na makazi yasiyo rasmi

Haya makazi yasiyo rasmi huweza kuwa ni nyumba ndogo yaani mchepuko,au simply safe house,ambapo hata dereva huenda asipajue,mkuu akiwa na kikao cha siri au mchepuko wake anawasha gari usiku na kuingia ndani,huko kuna mlinzi na mtu wa usafi.

Mambo yote ya ovyo hufanyika huko,iwe mikakati ovu ya kisiasa,michepuko,document za hatari hukaa huko.
Si mke wala watoto wa huyu mwamba hupajua hapa.
.
Polisi kupekua makazi rasmi ni kupotezeana muda mtaambulia kadi za mwaliko wa harusi na barua za kukumbushwa kulipa madeni ya benki,

Hakuna cha maana mtakachoambulia,mnafanya kazi kizamani sana
Point yako ni ipi? Unataka kusema nini, acheni ramli chonganishi
 
Back
Top Bottom