Mbinu ya CHADEMA ya "Win the crowd, and fate will kneel before you" ipo 70% kuelekea kuiangusha CCM

Kosoa chadema au kiongozi wa upinzani ili tuone kama ni kweli mitandao inapenda contents za hasira na ukosoaji.

Kisha lete hesabu utaona tofauti
Online republic ni minority but noisy

Ni universal kwa poor countries
 
Uvccm ni wazee? hapo ndo mnapofeli kwa kujiaminisha uongo wenzemu wanawekeza rika lote nyie mnabaki kusema wanakataliwa na vijana wasasa..ni kweli CCM inakataliwa mdomoni nasio moyoni..chukua hilo.
Tume huru ya uchaguzi ingeweza kumaliza ubishi.
 
Kuna jamaa nimemuona humu (Chawa wa Samia) anaitwa Zack Abdul ameposti Uzi wake eti anatueleza habari za ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi za Rwanda, Kenya na Tanzania katikati ya maombolezo ya Mauaji ya ndugu zetu zaidi 10,000 yaliyofanyaa na Samia Jezebel

Wakati watu tukitaka walioua ndugu zetu wawajibike kisiasa na kisheria, yeye analeta ujinga wake hapa kutupotezea muda badala kuendelea na kelele za kutaka muuaji awajibike

Matokeo yake Uzi wake toka saa 10 jioni alipouposti, mpaka sasa katibu saa 6 usiku hakuna like, view wala comment yoyote...!!

Hii ndio picha halisi ya namna serikali ya CCM na muuaji wao Samia Jezebel anavyochukiwa!!
 
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo, CHADEMA hawawezi na hawana sababu ya kukosolewa kwamaana hawajawahi kuwa na serikali.
Kwa upande mwingine, CCM kama ambavyo wangependa maendeleo ya nchi yetu yahusishwe nao, ndivyo hivyo hivyo huwezi kukwepa changamoto za nchi yetu haziwezi wakwepa!
Strategy ya CCM kufanya siasa ni kutekeleza ahadi zake, kutatua kero za wananchi na kuboresha maisha ya watu.
Kazi ya CHADEMA ni kupinga, hivyo itaungwa mkono na watu ambao kwa namna moja au nyingine wanajisikia kuachwa nyuma na serikali.
Kwaupande mwingine CCM kazi yake ni kutenda, kwahiyo kwa kadri inavyotatua kero na kuboresha maisha ya watu ndivyo itakavyoungwa mkono.
Kama watu wanamanung'uniko ni wajibu wa CCM kujitafakari kama utendaji wa serikali yake unakidhi matarajio ya wananchi, vinginevyo wananchi wataona suluhisho lao ni kuhamia CHADEMA.
 
Chini ya watu wanaoaminika, na sio chini ya mwenyekiti wa ccm. Katiba gani unazungumzia boss, hiki kijitabu?
watu gani hao wanaominika kumzidi mkuu wa nchi? Na wakifanya makosa watawajibika kwa nani? Hapo bado kuna shida kubwa sana..nahaiwezekani watu kutoka nje kuja kusimamia mambo yetu ya ndani mambo yetu ya ndani yataamuliwa na sisi wenyewe kwaajili ya kiusalama...Nawashauri mtafute njia nyingne hyo mmefeli...
 
wewe unaeleweka miaka yote ndo hvo hata mambo yanayotekelezwa sahv upinzani uliyaibua miaka hyo. CCM inatekeleza.
 
Kuwa mkuu wa nchi ndio kuaminika?! Usichanganye cheo na kuaminika maana hivi ni vitu viwili tofauti. Wakifanya makosa watawajibika kwa mujibu wa sheria. Na ni kuwajibika kupi unaiongelea, maana hata sasa ikiwemo rais ni wahalifu na hakuna wa kuwawajibisha.

Halafu kuleta watu wa nje kusimamia kuna ubaya gani kama lengo ni haki kutendeka? Mbona mpira Simba na Yanga wameleta refa toka nje? Mbona miradi mikubwa yote ya bei mbaya wanakuja watu toka nje kufanya, tena mingine ni ya sehemu nyeti, ama kwako watu toka nje ni hatari tu ccm inapotaka kukaa madarakani kwa shuruti?
 
haya komaeni nahyo tume huru ya uchaguzi tuone itafanyeje kazi..naona hatuelewani...
 
haya komaeni nahyo tume huru ya uchaguzi tuone itafanyeje kazi..naona hatuelewani...
Hatuelewi hila, usitegemee tutaendelea kuwa wajinga kama zamani. Nyakati hubadilika ni wakati wenu kubadilika, vinginevyo mtabadilika kwa nguvu hata kama ni njia yenye maumivu makubwa, lakini kutabadilika.
 
Kuna taahira mmoja anaitwa Lucas Mwashambwa na wenzake ChoiceVariable Tlaatlaah n.k hawa wajinga wafutwe JF.
 
Kenan Kihongozi anahaha ni baada ya kamati kuu ya Chadema kukaa siku mbili na kuja na maazimio ya kwenda kwa wanainchi hapo mikutano bado ccm watakimbilia Polisi kuzuia mikutano ya Chadema.
 
Hatari sana Mkuu
Hatua waliyopiga Chadema na wanaharakati ni kubwa Sana
Fikiria kwa hisia usitumie akili muangalie kiongozi wa ccm mtaani kwako anavyochukuliwa na watu jenga picha kubwa uniambie hali ipoje,
hawa wa ccm wanaona pesa za umma kama mgodi hata hewa iwe nzito compressor iletwe(polisi) pesa wanazochuma ndiyo zinazowapa nguvu kutaka madaraka sio kitu kingine
 

Hatari Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…