Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,527
Kuna mashine zinabakiza elfu 20 ndani unakuta anainua mfuniko anatoa halafu anaendelea ila pake hesabu inasoma 100 lakini mbili zinakuwa ndani tena bank kabisaMchezo wa ma cashier wa CRDB.
Wengine hawataki kupandishwa vyeo wanataka wabaki na ukeshia waendelee kuwaibia watu.
CRDB Mbezi mwisho jirekebisheni.
Haha! Safi sana mkuu..Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia nadhani unanikumbuka juzi na jana kila nikikupa hela unaniambia imepungua elfu 10 ...au unataka nipige kelele! Akawa mpooole kimyaaa nikahesabu moja moja huku anaonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa.
Ndio maana msukuma na mkinga hawapendi ujinga, akishauza chake pesa inakaa chini ya godoro.Kuna mashine zinabakiza elfu 20 ndani unakuta anainua mfuniko anatoa halafu anaendelea ila pake hesabu inasoma 100 lakini mbili zinakuwa ndani tena bank kabisa
Siku hizi hata kwenye vibanda vya m pesa ndo michezo YaoMchezo wa ma cashier wa CRDB.
Wengine hawataki kupandishwa vyeo wanataka wabaki na ukeshia waendelee kuwaibia watu.
CRDB Mbezi mwisho jirekebisheni.
Dawa ni moja kuhesabu noti moja moja ikibidi ziweke namba. Kama M unaziandika kabisa na penseli from one to a hundred.Siku hizi hata kwenye vibanda vya m pesa ndo michezo Yao
Wewe kweli undercoverPale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia nadhani unanikumbuka juzi na jana kila nikikupa hela unaniambia imepungua elfu 10 ...au unataka nipige kelele! Akawa mpooole kimyaaa nikahesabu moja moja huku anaonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa.
Ni sawa ila siku nyingine uwe na huruma as a Gentl, jua kali pesa hakuna wadada wakale wapi [emoji23][emoji23]Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia nadhani unanikumbuka juzi na jana kila nikikupa hela unaniambia imepungua elfu 10 ...au unataka nipige kelele! Akawa mpooole kimyaaa nikahesabu moja moja huku anaonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa.
πWe jamaa π, mshahara wenyewe usikute elfu 70, ataishije na hamuachi hata chenchi ? Wanajiongeza