Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa
Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono kuhusu DP world wote wameona hali si shwari
Baada ya mbinu ya uhaini kuonekana inalichafua taifa kimataifa ni mbinu gani itafuata? Waliopendekeza mbinu hii watachukuliwa hatua kwa kumdanganya DP world au ndio watasamehewa?
Wafuasi wa MABEBERU wanashukiza kufunguliwa kwa kesi ya uhaini ili waendelea kuzoa pointi tatu kimataifa; serikali imewashtukia japo kwa kuchelewa na sasa wamepanga kubaki kwenye uchochezi
Inshort mashirika ya kimataifa hayajawahi kumtetea muhaini so ukiona wanalipinga shtuka ; ni aidha uwapooze MABEBERU kwa kuwapa mikataba nawao au uwapuuze wakivurugie uchumi......
Tumefungua nchi imefungwa na uhaini. Wrong calculation