Mbinu ya uhaini imegoma; mbinu gani inafuata kuwanyamazisha waliotumwa na MABEBERU?

Imeuzaje bandari?
What is substance over form example?

Another example is the situation where a company short of cash sells its machinery to the bank and then leases the same property from the bank. This arrangement is called "sale and leaseback". Although the legal ownership has been transferred to the bank, the underlying economic reality for the company remain the same
.kwa hiyo hapa Kwa lugha nyepesi itakuwa umechukua mkopo Kwa dhamana ya hiyo machinery
 
Tunajiharibia saaana,,Unajua SS CCM tunajiharibia Wenyewe,,Mama fukuza washauri wako hawafai..Wanakuharibia indirectly..Tunakuombea Mama kataa wahuni
 
Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa

Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono kuhusu DP world wote wameona hali si shwari

Baada ya mbinu ya uhaini kuonekana inalichafua taifa kimataifa ni mbinu gani itafuata? Waliopendekeza mbinu hii watachukuliwa hatua kwa kumdanganya DP world au ndio watasamehewa?

Wafuasi wa MABEBERU wanashukiza kufunguliwa kwa kesi ya uhaini ili waendelea kuzoa pointi tatu kimataifa; serikali imewashtukia japo kwa kuchelewa na sasa wamepanga kubaki kwenye uchochezi

Inshort mashirika ya kimataifa hayajawahi kumtetea muhaini so ukiona wanalipinga shtuka ; ni aidha uwapooze MABEBERU kwa kuwapa mikataba nawao au uwapuuze wakivurugie uchumi......

Tumefungua nchi imefungwa na uhaini. Wrong calculation
Watu wataanza kuuawa kimya kimya kwa mbinu hizi
1. Ajali za kupangwa
2. Maradhi ya kupandikizwa
3. Matukio yanayofanana na ujambazi kama prof Mwaikusa
4. Kifo kama kifo

IGP ameshaonesha moyo wake ulivyo na yeye anaamini polisi ndo nchi. Haamini kabisa kama sisi raia tuna haki ya kupinga upuuzi wa viongozi
 
What is substance over form example?

Another example is the situation where a company short of cash sells its machinery to the bank and then leases the same property from the bank. This arrangement is called "sale and leaseback". Although the legal ownership has been transferred to the bank, the underlying economic reality for the company remain the same
.kwa hiyo hapa Kwa lugha nyepesi itakuwa umechukua mkopo Kwa dhamana ya hiyo machinery
Ndo kilichofanyika? Tupe uthibitisho
 
Labda nikupe issue ya uhaini si ndogo wazee wa baka wameshirikishwa kutoa ushahidi wa uwongo wamegoma,miwani nao wamegoma coz hakuna logic ya uhaini zaidi ya kwenda kuaibika hivyo wanajipanga kuichomoa kwa uchochezi
Ndio kila siku kikao pale kanisani haviishi
 
Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa

Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono kuhusu DP world wote wameona hali si shwari

Baada ya mbinu ya uhaini kuonekana inalichafua taifa kimataifa ni mbinu gani itafuata? Waliopendekeza mbinu hii watachukuliwa hatua kwa kumdanganya DP world au ndio watasamehewa?

Wafuasi wa MABEBERU wanashukiza kufunguliwa kwa kesi ya uhaini ili waendelea kuzoa pointi tatu kimataifa; serikali imewashtukia japo kwa kuchelewa na sasa wamepanga kubaki kwenye uchochezi

Inshort mashirika ya kimataifa hayajawahi kumtetea muhaini so ukiona wanalipinga shtuka ; ni aidha uwapooze MABEBERU kwa kuwapa mikataba nawao au uwapuuze wakivurugie uchumi......

Tumefungua nchi imefungwa na uhaini. Wrong calculation
Polisi wetu ni mabingwa wa kubambika kesi! Halafu ati mtu kama IGP ana kwenda kuhudhuria siku ya kukabidhi ripoti ya haki jinai!! Kweli???
Haija isha mwezi yeye ndie ana kiwa wa kwanza kuikanyaga ripoti yenyewe na kuwapakazia watu UHAINI?? Bado Mh. Rais anaendelea kumkumbatia? Huyu IGP alikuwa awe tayari yuko nje ya mamlaka kama kweli Mh. Rais alikuwa na maana njema na ile ripoti ya HAKI JINAI. Maana anayo fanya Wambura yaliorodheshwa kwenye ile ripoti.
 
Huijui CCM wewe, usijipe moyo kwamba kuna siku chama cha mapinduzi kitamuangusha mwenyekiti wake. CCM linapokuja suala la chama wanaungana kama mchwa, tofauti zao hujui zinakwenda wapi.
Waelimishe wasioijua CCM ktk swala la madaraka wanazika tofauti zao kumpigania mwenyekiti wao hata Kama kabolonga
 
Wajuvi wanakwambia usiangalie muundo wake , unaangalia madhara yake yanakuwaje ukiitaka hicho kitu chako iwe bandari nk inabidii ukilipie kigombozi. Sasa hicho kigombozi maanake nini ? Ni kwamba unanunua kile ulicho kiuza.
Unayemwambia haya ana akili za kukuelewa? Juzi Kenya wamefikishwa ICSID sababu ya Mkataba ilioingia serikali 2019 na kisha Bunge kuukataa na DP WORLD walikuwa hawajawekeza hata kijiko.
 
Huijui CCM wewe, usijipe moyo kwamba kuna siku chama cha mapinduzi kitamuangusha mwenyekiti wake. CCM linapokuja suala la chama wanaungana kama mchwa, tofauti zao hujui zinakwenda wapi.
Hivi umenielewa nilichomaanisha kwenye hiyo posti yangu??
 
"Tumefungua nchi ikafungwa na uhaini" back to square one.
 
Back
Top Bottom