Mbinu ya uhaini imegoma; mbinu gani inafuata kuwanyamazisha waliotumwa na MABEBERU?

Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa

Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono kuhusu DP world wote wameona hali si shwari

Baada ya mbinu ya uhaini kuonekana inalichafua taifa kimataifa ni mbinu gani itafuata? Waliopendekeza mbinu hii watachukuliwa hatua kwa kumdanganya DP world au ndio watasamehewa?

Wafuasi wa MABEBERU wanashukiza kufunguliwa kwa kesi ya uhaini ili waendelea kuzoa pointi tatu kimataifa; serikali imewashtukia japo kwa kuchelewa na sasa wamepanga kubaki kwenye uchochezi

Inshort mashirika ya kimataifa hayajawahi kumtetea muhaini so ukiona wanalipinga shtuka ; ni aidha uwapooze MABEBERU kwa kuwapa mikataba nawao au uwapuuze wakivurugie uchumi......

Tumefungua nchi imefungwa na uhaini. Wrong calculation
wamefeli sasa hivi upande wa pili tunakwenda kwa logic, sequence & series
 
mnajidanganya aisee yaani hakuan kuwasikiliza hao wa kimataifa sijui kina nani mwendo mbelekwambele hatutishwi na vinyago
 
Back
Top Bottom