What is substance over form example?Imeuzaje bandari?
HAPA NDIPO UMEPATIA. AMESHA AMUA KAMA ALIVYO AMUA KWA MBOWEau rais mwemyew ameamua liwalo na liwe
Hajali sio?Stress mnazo nyie kuandika mambo ya kusadikika humu wakati mama wa watu anakula kiyoyozi na usingiz swafi
Watu wataanza kuuawa kimya kimya kwa mbinu hiziSerikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa
Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono kuhusu DP world wote wameona hali si shwari
Baada ya mbinu ya uhaini kuonekana inalichafua taifa kimataifa ni mbinu gani itafuata? Waliopendekeza mbinu hii watachukuliwa hatua kwa kumdanganya DP world au ndio watasamehewa?
Wafuasi wa MABEBERU wanashukiza kufunguliwa kwa kesi ya uhaini ili waendelea kuzoa pointi tatu kimataifa; serikali imewashtukia japo kwa kuchelewa na sasa wamepanga kubaki kwenye uchochezi
Inshort mashirika ya kimataifa hayajawahi kumtetea muhaini so ukiona wanalipinga shtuka ; ni aidha uwapooze MABEBERU kwa kuwapa mikataba nawao au uwapuuze wakivurugie uchumi......
Tumefungua nchi imefungwa na uhaini. Wrong calculation
Mama hashaurikiTunajiharibia saaana,,Unajua SS CCM tunajiharibia Wenyewe,,Mama fukuza washauri wako hawafai..Wanakuharibia indirectly..Tunakuombea Mama kataa wahuni
Ndo kilichofanyika? Tupe uthibitishoWhat is substance over form example?
Another example is the situation where a company short of cash sells its machinery to the bank and then leases the same property from the bank. This arrangement is called "sale and leaseback". Although the legal ownership has been transferred to the bank, the underlying economic reality for the company remain the same
.kwa hiyo hapa Kwa lugha nyepesi itakuwa umechukua mkopo Kwa dhamana ya hiyo machinery
Ndio kila siku kikao pale kanisani haviishiLabda nikupe issue ya uhaini si ndogo wazee wa baka wameshirikishwa kutoa ushahidi wa uwongo wamegoma,miwani nao wamegoma coz hakuna logic ya uhaini zaidi ya kwenda kuaibika hivyo wanajipanga kuichomoa kwa uchochezi
Tupe uthibitisho wa huo uuzajiKwa waarabu wa dubai
Polisi wetu ni mabingwa wa kubambika kesi! Halafu ati mtu kama IGP ana kwenda kuhudhuria siku ya kukabidhi ripoti ya haki jinai!! Kweli???Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa
Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono kuhusu DP world wote wameona hali si shwari
Baada ya mbinu ya uhaini kuonekana inalichafua taifa kimataifa ni mbinu gani itafuata? Waliopendekeza mbinu hii watachukuliwa hatua kwa kumdanganya DP world au ndio watasamehewa?
Wafuasi wa MABEBERU wanashukiza kufunguliwa kwa kesi ya uhaini ili waendelea kuzoa pointi tatu kimataifa; serikali imewashtukia japo kwa kuchelewa na sasa wamepanga kubaki kwenye uchochezi
Inshort mashirika ya kimataifa hayajawahi kumtetea muhaini so ukiona wanalipinga shtuka ; ni aidha uwapooze MABEBERU kwa kuwapa mikataba nawao au uwapuuze wakivurugie uchumi......
Tumefungua nchi imefungwa na uhaini. Wrong calculation
Acha avune alichokipandaMama yupo kwenye stress kinoma tumuombee sana.
Kwani yupo?Inaweza kuwa washauri wa rais hawafanyi kazi yao effectively au rais mwemyew ameamua liwalo na liwe
Waelimishe wasioijua CCM ktk swala la madaraka wanazika tofauti zao kumpigania mwenyekiti wao hata Kama kabolongaHuijui CCM wewe, usijipe moyo kwamba kuna siku chama cha mapinduzi kitamuangusha mwenyekiti wake. CCM linapokuja suala la chama wanaungana kama mchwa, tofauti zao hujui zinakwenda wapi.
Unayemwambia haya ana akili za kukuelewa? Juzi Kenya wamefikishwa ICSID sababu ya Mkataba ilioingia serikali 2019 na kisha Bunge kuukataa na DP WORLD walikuwa hawajawekeza hata kijiko.Wajuvi wanakwambia usiangalie muundo wake , unaangalia madhara yake yanakuwaje ukiitaka hicho kitu chako iwe bandari nk inabidii ukilipie kigombozi. Sasa hicho kigombozi maanake nini ? Ni kwamba unanunua kile ulicho kiuza.
Hivi umenielewa nilichomaanisha kwenye hiyo posti yangu??Huijui CCM wewe, usijipe moyo kwamba kuna siku chama cha mapinduzi kitamuangusha mwenyekiti wake. CCM linapokuja suala la chama wanaungana kama mchwa, tofauti zao hujui zinakwenda wapi.
Uliza mikopo kausha damu inapoishiaImeuzaje bandari?
Kwani yeye hana akili hadi apokee ushauri wa kipuuzi namna hiyo wa kuwabambika kesi za uhaini wapigania haki?Inaweza kuwa washauri wa rais hawafanyi kazi yao effectively au rais mwemyew ameamua liwalo na liwe