Mbinu ya uhakika ya kuchukulia namba kwa watoto wazuri

Asee kweli nimekua mhenga, baadhi ya vitu naona upuuzi.
Yaani ufungue biashara ili upate number za totoz?
 
Asee kweli nimekua mhenga, baadhi ya vitu naona upuuzi.
Yaani ufungue biashara ili upate number za totoz?

Au ukijua mtaa anaokaa unafungua duka la kuuza chokaa[emoji3][emoji3]
 
Au ukijua mtaa anaokaa unafungua duka la kuuza chokaa[emoji3][emoji3]
Mbebez....
1.mfate omba namba
2. Mpige sound mwambie unahisia naye.
3. Jenga mazingira ya kuzoeana naye then mwambie hitaji lako.
4. Kuwa smart na mtaratibu, hawapendi mtu mapepe mpayuka payuka hovyo.
Hawa ni watu wa hisia sana, ukiwapatia utakula mema ya nchi.
Acha uzinzi, okoka mpe YESU maisha yako.
 
Mwanaume unashindwa kumface manzi na kumuomba namba! Mpaka uzunguuke kote huko,

Acha tuendelee kuwatafunia dada zenu tu.
 
Ukianza kujitambulisha eti mi ni wakala ndo nmechukua namba ako. Atoweza kuchat na ww na mwishowe atakublock
 
Yaani utafute mtaji wa kufungua tigo pesa kwa sababu ya kufanya umalaya?
 
Ukweli siwezi fanya hivo mi nawafuataga dairekti ananipa mwenyewe Sasa ooh unaulizwa no umepata wap unaanza ooohh nlipewa Undezi huo cwezi
 
chaaaayyyy!!! god forbid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…