Mbinu ya uhakika ya kuchukulia namba kwa watoto wazuri

Mbinu ya uhakika ya kuchukulia namba kwa watoto wazuri

Asee kweli nimekua mhenga, baadhi ya vitu naona upuuzi.
Yaani ufungue biashara ili upate number za totoz?
 
Asee kweli nimekua mhenga, baadhi ya vitu naona upuuzi.
Yaani ufungue biashara ili upate number za totoz?

Au ukijua mtaa anaokaa unafungua duka la kuuza chokaa[emoji3][emoji3]
 
Au ukijua mtaa anaokaa unafungua duka la kuuza chokaa[emoji3][emoji3]
Mbebez....
1.mfate omba namba
2. Mpige sound mwambie unahisia naye.
3. Jenga mazingira ya kuzoeana naye then mwambie hitaji lako.
4. Kuwa smart na mtaratibu, hawapendi mtu mapepe mpayuka payuka hovyo.
Hawa ni watu wa hisia sana, ukiwapatia utakula mema ya nchi.
Acha uzinzi, okoka mpe YESU maisha yako.
 
Mwanaume unashindwa kumface manzi na kumuomba namba! Mpaka uzunguuke kote huko,

Acha tuendelee kuwatafunia dada zenu tu.
 
Ukianza kujitambulisha eti mi ni wakala ndo nmechukua namba ako. Atoweza kuchat na ww na mwishowe atakublock
 
Yaani utafute mtaji wa kufungua tigo pesa kwa sababu ya kufanya umalaya?
 
Ukweli siwezi fanya hivo mi nawafuataga dairekti ananipa mwenyewe Sasa ooh unaulizwa no umepata wap unaanza ooohh nlipewa Undezi huo cwezi
 
Poleni na majukumu wakuu

Leo nimeona nisheenanyi njia za uhakika ambazo ukizitumia inavotakiwa kwako namba za watoto wazuri itakua sio shida

Fungua goli(office) la huduma za kifedha yaani namaanisha uwe na tigo pesa,m pesa, Airtel money na hallo pesa, yaani hii ni njia ya uhakika na salama maana kila mtoto mzuri anaekuja kufanya muamala kwene office yako lazima umnyake kwa sababu anaotoa hela namba yake inakuja kwako na anavoeka hela anataja namba yake

Kua closed na watu wanajihusisha na huduma za kifedha apa namaanisha tengeneza urafiki na mawakala ukifeli kabisa fungua goli lolote karibu na office zao so itakua rahisi kwa wewe kuwaomba namba ya kila mtoto anaiingia na kutoka

Penda sana kutembea na gari yaani ata kama huna ndinga we fanya kuazima mzee hawa watoto wakiona ndinga akili zinahama wanazidisha kukushobokea yani ukigusa tu imo
Naomba niishie hapo kwa leo next time ntafundisha jinsi gani ya kupiga chabo gest
chaaaayyyy!!! god forbid
 
Back
Top Bottom