Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Kwa mtaji wa TZS 25M, chukua bidhaa zinazotembea kwa kasi na margin nzuri, zenye high turnover + moderate capital risk.Hongera kwa ushauri wako
Ningependa utushauri ukiwa na mtaji wa 25M nikachukue bidhaa gani china nije kuuza kwa jumla yani mzigo usinikalie kooni
And zuri na elimishi🙏🏽🙏🏽!Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati,
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki: mafanikio katika biashara sio tu bidii, bali ni mkusanyiko wa informed strategies, uelewa mpana wa soko, na nidhamu ya kibiashara inayotegemea data na mwelekeo wa soko.
Ninayo highlight hapa ni baadhi ya mbinu ambazo nashauri kwa dhati:
1. Tumia Taarifa Zaidi Kuliko Hisia
Wachina hawafanyi biashara kwa mazoea. Wanatumia taarifa, market trends, consumer behavior data, supply chain efficiency. Na sisi tunapaswa kuachana na biashara za kubahatisha. Jifunze kusoma soko, fanya simple feasibility analysis, hata kama uko Kariakoo au Sumbawanga.
2. Digital Presence ni Sauti Yako Mpya
Biashara nyingi China haziitaji maduka ya mtaa. Zipo online kwa nguvu sana kwenye platforms kama WeChat, Alibaba, TikTok Business. Hapa kwetu, tunapaswa kutumia mitandao kama Instagram, WhatsApp Business na TikTok kwa ufanisi zaidi, si kwa entertainment tu.
3. Thamani ya Bidhaa ni Zaidi ya Bei
Wachina huwekeza kwenye branding. Bidhaa yao inaweza kuwa sawa na ya kwako, lakini packaging, customer care, na storytelling huifanya ionekane ya kipekee. Hivyo, badala ya kupunguza bei ili kushindana, ongeza thamani ya kile unachotoa.
4. Shirikiana Badala ya Kuingiliana
Wafanyabiashara wadogo nchini China hujenga networks za kusaidiana kutoka joint importation hadi group branding. Hapa kwetu tuachane na wivu na ushindani usio na tija. Collaboration ni nguvu mpya.
5. Elimu Endelevu
Wachina hujifunza kila siku. Nchini mwao, hata mama lishe anaweza kuwa anasoma kupitia short online courses kuhusu “Food Safety Trends”. Nanyi, jitahidini kujifunza kupitia semina, makala, YouTube, au hata majukwaa kama JamiiForums.
Hitimisho:
Wito wangu ni huu: tusifanye biashara kwa mihemuko, bali kwa maarifa. Nimeona na kujifunza mengi China na haya ni matokeo ya kutafuta uelewa, si kwa kudhani, bali kwa kutafiti na kuhoji.
Biashara si kubahatisha. Ni science na art inayohitaji akili iliyo tayari kubadilika.
Naomba kuchochea fikra, si kutoa majibu yote.
Karibuni tujadili.
Nowdays door to door businessAnd zuri na elimishi🙏🏽🙏🏽!
Cha kuongezea ....kwenye namba 2 . Mfanyabiashara ajifunze kuwafata wateja.....akijishkiza kwenye mitandao tu, huenda asiwapate wengi(kulingana na mazingira), huku tuliko wengine hizo tik tok, whatsapp n misamiati mipya.
Wateja wengi hawatumii simu janja, MFANYABIASHARA tembea na mazingira uliyopo.( Kama n mjini sawa, wekeza kwenye media....vijijin, fata mteja( fanya namna UJITANGAZE)
NaamNowdays door to door business
Ukisubiri dukani utakaa na mzigo wako
Hongera somo zuri.Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati,
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki: mafanikio katika biashara sio tu bidii, bali ni mkusanyiko wa informed strategies, uelewa mpana wa soko, na nidhamu ya kibiashara inayotegemea data na mwelekeo wa soko.
Ninayo highlight hapa ni baadhi ya mbinu ambazo nashauri kwa dhati:
1. Tumia Taarifa Zaidi Kuliko Hisia
Wachina hawafanyi biashara kwa mazoea. Wanatumia taarifa, market trends, consumer behavior data, supply chain efficiency. Na sisi tunapaswa kuachana na biashara za kubahatisha. Jifunze kusoma soko, fanya simple feasibility analysis, hata kama uko Kariakoo au Sumbawanga.
2. Digital Presence ni Sauti Yako Mpya
Biashara nyingi China haziitaji maduka ya mtaa. Zipo online kwa nguvu sana kwenye platforms kama WeChat, Alibaba, TikTok Business. Hapa kwetu, tunapaswa kutumia mitandao kama Instagram, WhatsApp Business na TikTok kwa ufanisi zaidi, si kwa entertainment tu.
3. Thamani ya Bidhaa ni Zaidi ya Bei
Wachina huwekeza kwenye branding. Bidhaa yao inaweza kuwa sawa na ya kwako, lakini packaging, customer care, na storytelling huifanya ionekane ya kipekee. Hivyo, badala ya kupunguza bei ili kushindana, ongeza thamani ya kile unachotoa.
4. Shirikiana Badala ya Kuingiliana
Wafanyabiashara wadogo nchini China hujenga networks za kusaidiana kutoka joint importation hadi group branding. Hapa kwetu tuachane na wivu na ushindani usio na tija. Collaboration ni nguvu mpya.
5. Elimu Endelevu
Wachina hujifunza kila siku. Nchini mwao, hata mama lishe anaweza kuwa anasoma kupitia short online courses kuhusu “Food Safety Trends”. Nanyi, jitahidini kujifunza kupitia semina, makala, YouTube, au hata majukwaa kama JamiiForums.
Hitimisho:
Wito wangu ni huu: tusifanye biashara kwa mihemuko, bali kwa maarifa. Nimeona na kujifunza mengi China na haya ni matokeo ya kutafuta uelewa, si kwa kudhani, bali kwa kutafiti na kuhoji.
Biashara si kubahatisha. Ni science na art inayohitaji akili iliyo tayari kubadilika.
Naomba kuchochea fikra, si kutoa majibu yote.
Karibuni tujadili.
Uzi bora sana huuNdugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati,

Mkuu kwa exposure uliyoipata huko, je ni digital services gani ambazo zipo kwenye trend na zina demand kubwa sana huko China, ambazo huku kwetu pia zikianzishwa tunaweza kunufaika nazo kibiashara?Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati,
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki: mafanikio katika biashara sio tu bidii, bali ni mkusanyiko wa informed strategies, uelewa mpana wa soko, na nidhamu ya kibiashara inayotegemea data na mwelekeo wa soko.
Ninayo highlight hapa ni baadhi ya mbinu ambazo nashauri kwa dhati:
1. Tumia Taarifa Zaidi Kuliko Hisia
Wachina hawafanyi biashara kwa mazoea. Wanatumia taarifa, market trends, consumer behavior data, supply chain efficiency. Na sisi tunapaswa kuachana na biashara za kubahatisha. Jifunze kusoma soko, fanya simple feasibility analysis, hata kama uko Kariakoo au Sumbawanga.
2. Digital Presence ni Sauti Yako Mpya
Biashara nyingi China haziitaji maduka ya mtaa. Zipo online kwa nguvu sana kwenye platforms kama WeChat, Alibaba, TikTok Business. Hapa kwetu, tunapaswa kutumia mitandao kama Instagram, WhatsApp Business na TikTok kwa ufanisi zaidi, si kwa entertainment tu.
3. Thamani ya Bidhaa ni Zaidi ya Bei
Wachina huwekeza kwenye branding. Bidhaa yao inaweza kuwa sawa na ya kwako, lakini packaging, customer care, na storytelling huifanya ionekane ya kipekee. Hivyo, badala ya kupunguza bei ili kushindana, ongeza thamani ya kile unachotoa.
4. Shirikiana Badala ya Kuingiliana
Wafanyabiashara wadogo nchini China hujenga networks za kusaidiana kutoka joint importation hadi group branding. Hapa kwetu tuachane na wivu na ushindani usio na tija. Collaboration ni nguvu mpya.
5. Elimu Endelevu
Wachina hujifunza kila siku. Nchini mwao, hata mama lishe anaweza kuwa anasoma kupitia short online courses kuhusu “Food Safety Trends”. Nanyi, jitahidini kujifunza kupitia semina, makala, YouTube, au hata majukwaa kama JamiiForums.
Hitimisho:
Wito wangu ni huu: tusifanye biashara kwa mihemuko, bali kwa maarifa. Nimeona na kujifunza mengi China na haya ni matokeo ya kutafuta uelewa, si kwa kudhani, bali kwa kutafiti na kuhoji.
Biashara si kubahatisha. Ni science na art inayohitaji akili iliyo tayari kubadilika.
Naomba kuchochea fikra, si kutoa majibu yote.
Karibuni tujadili.
Hiyo ni mihemko huwezi biashara hiyo ya kuambiwa nakwambia huwezi sema una MILION 25 umepanga kwa biashara halafu hujui biashara ya kufanya kichwani ni TOBO kabisaHongera kwa ushauri wako
Ningependa utushauri ukiwa na mtaji wa 25M nikachukue bidhaa gani china nije kuuza kwa jumla yani mzigo usinikalie kooni
Ela nyingi sana hiyo kwann ukafunge mzigo china na kuna biashara zenye turn over nzuri hapa mjini zinazoweza kukupa maisha.Hongera kwa ushauri wako
Ningependa utushauri ukiwa na mtaji wa 25M nikachukue bidhaa gani china nije kuuza kwa jumla yani mzigo usinikalie kooni
Utanilipa sh ngapi nikuambieHongera kwa ushauri wako
Ningependa utushauri ukiwa na mtaji wa 25M nikachukue bidhaa gani china nije kuuza kwa jumla yani mzigo usinikalie kooni
Duh umeshaona pesa ya kuandika tu untka kulipwa!Utanilipa sh ngapi nikuambie
Nipe mbinuEla nyingi sana hiyo kwann ukafunge mzigo china na kuna biashara zenye turn over nzuri hapa mjini zinazoweza kukupa maisha.
Dah ama kweli zilengwa mbali zitendwa mbali m nimeuliza tu nduguHiyo ni mihemko huwezi biashara hiyo ya kuambiwa nakwambia huwezi sema una MILION 25 umepanga kwa biashara halafu hujui biashara ya kufanya kichwani ni TOBO kabisa
SafiNdugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati,
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki: mafanikio katika biashara sio tu bidii, bali ni mkusanyiko wa informed strategies, uelewa mpana wa soko, na nidhamu ya kibiashara inayotegemea data na mwelekeo wa soko.
Ninayo highlight hapa ni baadhi ya mbinu ambazo nashauri kwa dhati:
1. Tumia Taarifa Zaidi Kuliko Hisia
Wachina hawafanyi biashara kwa mazoea. Wanatumia taarifa, market trends, consumer behavior data, supply chain efficiency. Na sisi tunapaswa kuachana na biashara za kubahatisha. Jifunze kusoma soko, fanya simple feasibility analysis, hata kama uko Kariakoo au Sumbawanga.
2. Digital Presence ni Sauti Yako Mpya
Biashara nyingi China haziitaji maduka ya mtaa. Zipo online kwa nguvu sana kwenye platforms kama WeChat, Alibaba, TikTok Business. Hapa kwetu, tunapaswa kutumia mitandao kama Instagram, WhatsApp Business na TikTok kwa ufanisi zaidi, si kwa entertainment tu.
3. Thamani ya Bidhaa ni Zaidi ya Bei
Wachina huwekeza kwenye branding. Bidhaa yao inaweza kuwa sawa na ya kwako, lakini packaging, customer care, na storytelling huifanya ionekane ya kipekee. Hivyo, badala ya kupunguza bei ili kushindana, ongeza thamani ya kile unachotoa.
4. Shirikiana Badala ya Kuingiliana
Wafanyabiashara wadogo nchini China hujenga networks za kusaidiana kutoka joint importation hadi group branding. Hapa kwetu tuachane na wivu na ushindani usio na tija. Collaboration ni nguvu mpya.
5. Elimu Endelevu
Wachina hujifunza kila siku. Nchini mwao, hata mama lishe anaweza kuwa anasoma kupitia short online courses kuhusu “Food Safety Trends”. Nanyi, jitahidini kujifunza kupitia semina, makala, YouTube, au hata majukwaa kama JamiiForums.
Hitimisho:
Wito wangu ni huu: tusifanye biashara kwa mihemuko, bali kwa maarifa. Nimeona na kujifunza mengi China na haya ni matokeo ya kutafuta uelewa, si kwa kudhani, bali kwa kutafiti na kuhoji.
Biashara si kubahatisha. Ni science na art inayohitaji akili iliyo tayari kubadilika.
Naomba kuchochea fikra, si kutoa majibu yote.
Karibuni tujadili.
Kama zipiEla nyingi sana hiyo kwann ukafunge mzigo china na kuna biashara zenye turn over nzuri hapa mjini zinazoweza kukupa maisha.