Duh sema hapo ndio changamoto sema nahis unachagua urahis mfano kwa mzambia kunabaadhi ya nchi ni easy kuingia na mtanzania kunabaadhi ya nchi ni easy kuingia hivyo unaangalia wapi niende na ipiFinger prints?
Sema kuna watu nawajua wana passport hadi za DRC na wanapeta tu. Itabidi kuwauliza kwa makini.Duh sema hapo ndio changamoto sema nahis unachagua urahis mfano kwa mzambia kunabaadhi ya nchi ni easy kuingia na mtanzania kunabaadhi ya nchi ni easy kuingia hivyo unaangalia wapi niende na ipi
Kwwli kakamkuu nikutafuta njia tuuSema kuna watu nawajua wana passport hadi za DRC na wanapeta tu. Itabidi kuwauliza kwa makini.
Zambia naijua ila sijatembea sana. Copperbelt na maeneo ya kaskazini kama Mbala, Kasama na Mpulungu ndo nayajua.Kwwli kakamkuu nikutafuta njia tuu
Mpulungu bandarin ushaenda mzehZambia naijua ila sijatembea sana. Copperbelt na maeneo ya kaskazini kama Mbala, Kasama na Mpulungu ndo nayajua.
SanaMpulungu bandarin ushaenda mzeh
BembaUmeshajua kuongea kibemba au lugha yao nyingine?
[emoji23][emoji23][emoji23] BNi maneno matatu tuu yakushika 1 ulishani
2 nakutemwa
3 ulifwibwino wakamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Vingine ili ujue unachofanya ni kujua rate ya kwacha baaas
Mwanamuzi [emoji23][emoji23]Ukiwa na viela hakuna Cha kuulizana wanapika data tuu bas na ukitaka reg nenda vijijini mnunulie pombe chief mwanakaya halafu eleza shida zako utapewa jina utapewa baba utapewa mama then unarud mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
Zinatosha saana hapo ni Salam na Neno nakupenda bas hapo Salam itakupa marafiki na nakupenda itakupa [emoji139][emoji139][emoji139][emoji139][emoji23][emoji23][emoji23] B
tatu izo muhimu za kuwa nazo sio?
Eeee aah hapo lazma upewe hata mke mzeeMwanamuzi [emoji23][emoji23]
Sema mpulungu nimekupenda sababu kwanza kunamuingiliano wa nnch nyingi kama nne hivi yaan Kuna warudi watz wacongo na wenyej wazed hapo mishe zake ni kama kazungula tuu napo pamekusanya wazimbabwe,wazambia,wanamibia na WA Botswana na haya maeneo haya hata migration hawatingi saana ila majasusi na interpol (NCB) ndio wengi haswa majasusi waliofield ya personality studies ndio wengi saana humo unaeza Kuta wameoana wote usalama halaf hawajuani aaanSana
Mpulungu ni kama uko bongo.. hali ya hewa yake pia kama Dar tu. Pamechangamka.Sema mpulungu nimekupenda sababu kwanza kunamuingiliano wa nnch nyingi kama nne hivi yaan Kuna warudi watz wacongo na wenyej wazed hapo mishe zake ni kama kazungula tuu napo pamekusanya wazimbabwe,wazambia,wanamibia na WA Botswana na haya maeneo haya hata migration hawatingi saana ila majasusi na interpol (NCB) ndio wengi haswa majasusi waliofield ya personality studies ndio wengi saana humo unaeza Kuta wameoana wote usalama halaf hawajuani aaan
Safi sana kama unaongea bembaBemba
Kweli ndio nnajambo langu kuleMpulungu ni kama uko bongo.. hali ya hewa yake pia kama Dar tu. Pamechangamka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanzania kupata NIDA tuu ni kipengele je mgeniDah kila siku najifunza jambo jipya katika huu uzi.. asante sana wazee wa Bemba....Huyo aliyesema una zama kijijin unarudi na jina jipya .na una mpata baba na mama kwa kumywesha pombe mwenyekiti wakijiji nimecheka sana.. I hope hapa Tz kuna kaugumu vha kupata uraia .hahahahaah
Pako poa Madam. Jipange uende.nimefurahishwa na huu uzi umenifungua macho nami itabidi niende zambia nikacheki biashara gani itanifaa kuifanya kule asante ni wadau kutufumbua macho hapa
Ina maana Mpulungu kuna majasusi au Kazungula?Sema mpulungu nimekupenda sababu kwanza kunamuingiliano wa nnch nyingi kama nne hivi yaan Kuna warudi watz wacongo na wenyej wazed hapo mishe zake ni kama kazungula tuu napo pamekusanya wazimbabwe,wazambia,wanamibia na WA Botswana na haya maeneo haya hata migration hawatingi saana ila majasusi na interpol (NCB) ndio wengi haswa majasusi waliofield ya personality studies ndio wengi saana humo unaeza Kuta wameoana wote usalama halaf hawajuani aaan