Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Mimi nikae nibishane na mtu wa fikra hizi?? HAHAHAHAHA

Najuta hata kukujibu.. kwaheri.
 
Vip swala la lugha kwa zambia, je kiswahili kipo au kiingereza kila mtu anakijua?
 
Amani finyu sana msumbiji.
 
Hizi ni nauli za TREN toka nakonde Hadi dar na nakonde Hadi kapilimposhi note: 1 kwacha = 130 shlingi kwa leo
 
Hii week ahsey imeripuka saana aan huu mwaka inaeza fika 160
Hivi inavyo panda una jua kisarafu ndio ina kuwa devaluated yaan inavyo lipuka ndio inavyopoteza dhaman zidi ya dollar.
 
Kama kuna ambaye alisha enda Zambia kwa Train kutokeaTanzania naomba aje hapa atueleze inachukuwa siku ngap nakama alisafir karibuni atwambie nauli tafadhali..

Natanguliza Shukrani
 
Kama kuna ambaye alisha enda Zambia kwa Train kutokeaTanzania naomba aje hapa atueleze inachukuwa siku ngap nakama alisafir karibuni atwambie nauli tafadhali..

Natanguliza Shukrani
Nauli tayar ndio hizo juu za mwaka 2023
 
Nauli tayar ndio hizo juu za mwaka 2023
Asante bro.
Sasa nikipanda train kutokea Hapa Dar es salaam(Tazara), Je! Ili nifike karibu na Lusaka nikashukie Nakonde au Kapilimposhi ??

Maana sijaona kituo cha Lusaka kwenye list ya vituo.. Au kama inafika Lusaka kabisa kituo kina itwaje hapo maana lengo langu ni kufika Lusaka kabisa.
 
Niliongea na mdau mmoja alihamia uganda miaka minne iliyopita, anadai uganda ya sasa ni km Tanzania ya enzi za rais mwinyi hela ni nje nje! ...kuna ukweli lolote kuhusu hilo au jamaa alikuwa ananifunga kamba?
 
Kiongozi huu ndio ukweli mtupu kabisa. Wala hajadanganya. Kwa wafanya bznes uganda kuna mwanya n nafuu kubwa. Ila piga kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…