Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Ww ni wakupeleka saudi nchi imejaa mapoli unawaza kwenda kutiwa..wazo ni kalime hapa hapa bongo
Wewe wa Haya ndio una weza kuja kwenye uzi wangu kuni shauri kuhusu Maisha??

Unaye ***** huogi?? Katawaze Una nuka..View attachment 2585956
Screenshot_20230413-033705.jpg
View attachment 2585957
 
Mimi nikae nibishane na mtu wa fikra hizi?? HAHAHAHAHA

Najuta hata kukujibu.. kwaheri.
Screenshot_20230413-033904.jpg
 
Vip swala la lugha kwa zambia, je kiswahili kipo au kiingereza kila mtu anakijua?
 
Kama urapata walau laki 5(pesa ya kubangaiza) nenda Msumbiji sehem za Machimbo toka dar na bidhaa hata kama ni nguo, viatu ama vipodozi maana kuna Machimbo mengi sana na watanzania wamejaa + wenyeji na mataifa mengine kikubwa pata kubali cha muda maana kwao ishu ni ufate utaratibu. Wengi wametoboa sana msumbiji kupitia Biashara sehem za Machimbo ya dhahabu na Rubi.
Amani finyu sana msumbiji.
 
Hizi ni nauli za TREN toka nakonde Hadi dar na nakonde Hadi kapilimposhi note: 1 kwacha = 130 shlingi kwa leo
IMG_20230415_181820.jpg
IMG_20230415_181820.jpg
 
Hii week ahsey imeripuka saana aan huu mwaka inaeza fika 160
Hivi inavyo panda una jua kisarafu ndio ina kuwa devaluated yaan inavyo lipuka ndio inavyopoteza dhaman zidi ya dollar.
 
Kama kuna ambaye alisha enda Zambia kwa Train kutokeaTanzania naomba aje hapa atueleze inachukuwa siku ngap nakama alisafir karibuni atwambie nauli tafadhali..

Natanguliza Shukrani
 
Kama kuna ambaye alisha enda Zambia kwa Train kutokeaTanzania naomba aje hapa atueleze inachukuwa siku ngap nakama alisafir karibuni atwambie nauli tafadhali..

Natanguliza Shukrani
Nauli tayar ndio hizo juu za mwaka 2023
 
Nauli tayar ndio hizo juu za mwaka 2023
Asante bro.
Sasa nikipanda train kutokea Hapa Dar es salaam(Tazara), Je! Ili nifike karibu na Lusaka nikashukie Nakonde au Kapilimposhi ??

Maana sijaona kituo cha Lusaka kwenye list ya vituo.. Au kama inafika Lusaka kabisa kituo kina itwaje hapo maana lengo langu ni kufika Lusaka kabisa.
 
Kwa mtazamo wangu mm Go east Go west Kampala and Lusaka is the best place for small bznes and middle bznes.
Nimefanya bznes Kampala wakati najitafuta sio kwamba nimejipata bado lakini ni sehemu ambayo imeniinua mnooo. Juzi kabla ya pasaka kuna mtu/sister nimemkonect na jamaa zangu w kule alifata mzigo wa nguo Kampala kanishukuru mpk nimeshangaa baadae nikaenda sinza dukani kwake nikakuta anajumlisha nguo na reja reja akasema hatumi tena pesa china mzigo unachelewa pia faida azitofautiani na Kampala ambako mzigo wake ni 5 days tu uko Dar.Ila kwa ss mm nimebezi sana Lusaka.
All the best brother mapambano muhimu mnooo fungua mipaka uone dunia na fulsa. Ila kenye kuna mishe mmenialibia na mambo yenu ya maandamano sio poa.
Niliongea na mdau mmoja alihamia uganda miaka minne iliyopita, anadai uganda ya sasa ni km Tanzania ya enzi za rais mwinyi hela ni nje nje! ...kuna ukweli lolote kuhusu hilo au jamaa alikuwa ananifunga kamba?
 
Niliongea na mdau mmoja alihamia uganda miaka minne iliyopita, anadai uganda ya sasa ni km Tanzania ya enzi za rais mwinyi hela ni nje nje! ...kuna ukweli lolote kuhusu hilo au jamaa alikuwa ananifunga kamba?
Kiongozi huu ndio ukweli mtupu kabisa. Wala hajadanganya. Kwa wafanya bznes uganda kuna mwanya n nafuu kubwa. Ila piga kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom