Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

Asante bro.
Sasa nikipanda train kutokea Hapa Dar es salaam(Tazara), Je! Ili nifike karibu na Lusaka nikashukie Nakonde au Kapilimposhi ??

Maana sijaona kituo cha Lusaka kwenye list ya vituo.. Au kama inafika Lusaka kabisa kituo kina itwaje hapo maana lengo langu ni kufika Lusaka kabisa.
Tazara inaishia Kapilimposhi kutokea hapo utapanda Bus mpaka Lusaka. Njia nyingine rahisi ni kupanda Bus yapo mabasi kutoka Dar_ Lusaka, mfano Taqwa na mengine yanayoenda Congo, Zimbabwe na Botswana haya yanapita Lusaka.
 
Huhitaji kuwa na digrii kutafuta fursa

Njia ya kwanza ni kwenda kutalii

Unapanda zako basi unaenda unachukua guest House unaanza kuzunguka madukani ,masokoni kuna nini na bei zake zikoje ukilinganisha na Tanzania ili ujue ukitaka kuuza vitu toka Tanzania Italipa?

Pia kwenye basi waweza kuta watanzania ambao hufanya biashara huko au kuishi waweza zungumxa nao wakakueleza hali ilivyo kuna uhaba upi na fursa zipi

Njia nyingine ni kwenda kwenye maonyesho ya kibiashara ya nchi husika kule waweza kutana na wafanyabiashara wao ukaona wanauza nini kwa bei ipi na ukaangalia kama waweza toa kule kuleta Tanzania ikalipa ukiangalia bei za huku

Pia maonyesho ya kibiashara ya kwao yaweza kukuonyesha kama bidhaa zao ziko ghali na Tanzania ziko rahisi waweza Toa Tanzania ukapeleka kule

Njia nyingine ya kujua fursa kwa kukaa muda mrefu upate muda kuangalia na kupunguza gharama za malaxi guest House omba chuo chochote kwenda kusoma. Ili upate muda zaidi wa kuangalia fursa

Utapata visa ya muda mrefu kukaa nchini kwa kuishi hostel ambapo ni cheap au kupanga nyumba uswahilini kwa vei rahisi kuliko kukaa guest House.Kipindi.cha kusoma utakitumia kujua fursa zilizopo.Na tafuta chuo chochote kiwe hata cha VETA cha mwaka mmoja au miezi sita huwa viko kibao. Muda huo utaweza jua mengi kupitia wale unasoma nao,mitaani nk

Njia nyingine ni kuwatumia watanzania walioko huko au ubalozi wakueleze fursa zilizoko huko ambazo watanzania waweza fanya

Nyingine ni kwenda mikoa ya mipakani kama wewe huishi mikoa ya mipakani kule utakuta watanzania kibao na watu wa nchi jirani kila upande ulibeba biashara kupeleka upande mwingine na wewe utajua cha kupeleka.Mikoa ya mipakani huzijua sana biashara za kimataifa za kuuziana na mchi wanayopakana nayo.Wengine hawajui kusoma wala kuandika wala hawana digrii lakini hufanya biashara za kimataifa na nchi jirani wengine hadi wamewekeza vitega uchumi huko
Tatizo liko kwa wale wakaa mikoa isiyo ya mipakani hao huwa shida huwa hawajui hata wafanye biashara gani nchi jirani

Hizo ni baadhi tu ziko njia nyingi tu
 
Asante sana kwa mawazo mazuri .hii kwel mbinu nzuri
 
Tazara inaishia Kapilimposhi kutokea hapo utapanda Bus mpaka Lusaka. Njia nyingine rahisi ni kupanda Bus yapo mabasi kutoka Dar_ Lusaka, mfano Taqwa na mengine yanayoenda Congo, Zimbabwe na Botswana haya yanapita Lusaka.
Dar-Botswana sh ngap kwa njia ya bus au ndege
 
Karibu Uturuki,

Fursa zipo, ukifuata taratibu na ukiweza pata residence permit ya hapa ni rahisi kuingia ulaya sehemu kama poland ingawa kuna janga la kupanda kwa bei ila hutokosa kazi kama ukiwa chakaramu na ukawahi kujifunza lugha yao
 
Dah kuna watu humu mna mioyo mizuri Mungu azidi kuwabariki mmetupa abc za kutosha, mimi mwezi huu najilipua nimechagua kwenda lusaka zambia nitatumia usafiri wa bus.
 
Mzee umemaliza kila kitu. Mimi naona kama kuna ulazima sana wa kutoka kijana atoke kihalali aingie zake Zambia afanye mishe zake. Lakini akae akijua kuwa mambo sio marahisi kwa mtu mzembe asiyeumiza akili. Zambia ina population ndogo na kuna uwepo wa wachina wengi ambao ushindani wanaouleta kwenye baadhi ya biashara sio poa kabisa. Kwangu mimi bado naona Dsm ni bora sana kuliko kwingine kutokana na idadi kubwa ya watu. Ukiotea biashara inayokubalika na watu basi Tanzania ni sehemu ya kufumba na kufumbua umekuwa milionea. KIUKWELI MIMI SITARAJII KWENDA KOKOTE NITAKOMAA NA JIJI LA DAR.
Yeah jiji la Dar ukishaseti koneksheni zako vizuri mambo yanakuwa ni rahisi japo huwa ni pagumu kwa mtu ambaye hajaseti koneksheni yeyote,yaani ukiishi kimazoea bila kujua shughuli yako maalumu inayokutambulisha mjini ni ipi lazima utapachukia
 
Sasa mkuu kama umeshindwa kutafutia hapa nyumbani ambapo mazingira umeyazoea lugha unaifhamu vizuri,nchi,mikoa,wilaya na vitongoji huko ugenini utaweza kweli?
 
Back
Top Bottom