Baba Nia
Member
- Sep 26, 2021
- 78
- 73
Twende ugKiongozi huu ndio ukweli mtupu kabisa. Wala hajadanganya. Kwa wafanya bznes uganda kuna mwanya n nafuu kubwa. Ila piga kazi kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende ugKiongozi huu ndio ukweli mtupu kabisa. Wala hajadanganya. Kwa wafanya bznes uganda kuna mwanya n nafuu kubwa. Ila piga kazi kweli kweli.
Tazara inaishia Kapilimposhi kutokea hapo utapanda Bus mpaka Lusaka. Njia nyingine rahisi ni kupanda Bus yapo mabasi kutoka Dar_ Lusaka, mfano Taqwa na mengine yanayoenda Congo, Zimbabwe na Botswana haya yanapita Lusaka.Asante bro.
Sasa nikipanda train kutokea Hapa Dar es salaam(Tazara), Je! Ili nifike karibu na Lusaka nikashukie Nakonde au Kapilimposhi ??
Maana sijaona kituo cha Lusaka kwenye list ya vituo.. Au kama inafika Lusaka kabisa kituo kina itwaje hapo maana lengo langu ni kufika Lusaka kabisa.
Asante sana kwa mawazo mazuri .hii kwel mbinu nzuriHuhitaji kuwa na digrii kutafuta fursa
Njia ya kwanza ni kwenda kutalii
Unapanda zako basi unaenda unachukua guest House unaanza kuzunguka madukani ,masokoni kuna nini na bei zake zikoje ukilinganisha na Tanzania ili ujue ukitaka kuuza vitu toka Tanzania Italipa?
Pia kwenye basi waweza kuta watanzania ambao hufanya biashara huko au kuishi waweza zungumxa nao wakakueleza hali ilivyo kuna uhaba upi na fursa zipi
Njia nyingine ni kwenda kwenye maonyesho ya kibiashara ya nchi husika kule waweza kutana na wafanyabiashara wao ukaona wanauza nini kwa bei ipi na ukaangalia kama waweza toa kule kuleta Tanzania ikalipa ukiangalia bei za huku
Pia maonyesho ya kibiashara ya kwao yaweza kukuonyesha kama bidhaa zao ziko ghali na Tanzania ziko rahisi waweza Toa Tanzania ukapeleka kule
Njia nyingine ya kujua fursa kwa kukaa muda mrefu upate muda kuangalia na kupunguza gharama za malaxi guest House omba chuo chochote kwenda kusoma. Ili upate muda zaidi wa kuangalia fursa
Utapata visa ya muda mrefu kukaa nchini kwa kuishi hostel ambapo ni cheap au kupanga nyumba uswahilini kwa vei rahisi kuliko kukaa guest House.Kipindi.cha kusoma utakitumia kujua fursa zilizopo.Na tafuta chuo chochote kiwe hata cha VETA cha mwaka mmoja au miezi sita huwa viko kibao. Muda huo utaweza jua mengi kupitia wale unasoma nao,mitaani nk
Njia nyingine ni kuwatumia watanzania walioko huko au ubalozi wakueleze fursa zilizoko huko ambazo watanzania waweza fanya
Nyingine ni kwenda mikoa ya mipakani kama wewe huishi mikoa ya mipakani kule utakuta watanzania kibao na watu wa nchi jirani kila upande ulibeba biashara kupeleka upande mwingine na wewe utajua cha kupeleka.Mikoa ya mipakani huzijua sana biashara za kimataifa za kuuziana na mchi wanayopakana nayo.Wengine hawajui kusoma wala kuandika wala hawana digrii lakini hufanya biashara za kimataifa na nchi jirani wengine hadi wamewekeza vitega uchumi huko
Tatizo liko kwa wale wakaa mikoa isiyo ya mipakani hao huwa shida huwa hawajui hata wafanye biashara gani nchi jirani
Hizo ni baadhi tu ziko njia nyingi tu
Sio kweliNchi zote zlizotuzunguka wanatamani kuhamia Tanzania,Bongo kutamu sana
Dar-Botswana sh ngap kwa njia ya bus au ndegeTazara inaishia Kapilimposhi kutokea hapo utapanda Bus mpaka Lusaka. Njia nyingine rahisi ni kupanda Bus yapo mabasi kutoka Dar_ Lusaka, mfano Taqwa na mengine yanayoenda Congo, Zimbabwe na Botswana haya yanapita Lusaka.
Laki moja na nusuNina passport ime expire mwaka 2020 kurenew naambiwa ni malaki ila sijui hasa ni kiasi gani?
Mkuu hata sielewi nauli za hukoDar-Botswana sh ngap kwa njia ya bus au ndege
Vipi kwa mtu Kama Mimi mwenye ujuzi wa photography na videography mkuu naweza survive huko?Botswana bwana maisha yakule ya utafutaji sio magumu ila uwe na kazi ya kufanya
Saa zingine vizuri tafuta nauli safiri nenda kaangalie sokoVipi kwa mtu Kama Mimi mwenye ujuzi wa photography na videography mkuu naweza survive huko?
Yeah jiji la Dar ukishaseti koneksheni zako vizuri mambo yanakuwa ni rahisi japo huwa ni pagumu kwa mtu ambaye hajaseti koneksheni yeyote,yaani ukiishi kimazoea bila kujua shughuli yako maalumu inayokutambulisha mjini ni ipi lazima utapachukiaMzee umemaliza kila kitu. Mimi naona kama kuna ulazima sana wa kutoka kijana atoke kihalali aingie zake Zambia afanye mishe zake. Lakini akae akijua kuwa mambo sio marahisi kwa mtu mzembe asiyeumiza akili. Zambia ina population ndogo na kuna uwepo wa wachina wengi ambao ushindani wanaouleta kwenye baadhi ya biashara sio poa kabisa. Kwangu mimi bado naona Dsm ni bora sana kuliko kwingine kutokana na idadi kubwa ya watu. Ukiotea biashara inayokubalika na watu basi Tanzania ni sehemu ya kufumba na kufumbua umekuwa milionea. KIUKWELI MIMI SITARAJII KWENDA KOKOTE NITAKOMAA NA JIJI LA DAR.