Mbinu za kuishi mitaa ya kihuni, uswahilini

Ukiwa na pesa mbona hawana shida kabisa full usalama 😹
 
nisha kaa maeneo ya kigogo uswahilini..........aseeeee mida ya mvua vyooo vyote vina jaaa . na magogo yanakuja juu soo una chagua unyee juu ya gogo au unyee kwenye kiroba ukatupe mtoni..........the option is yours
 
Pole sana
 
Mimi nikiwa natoka home huwa natoka na singilendi tu, shati au tshit nakuwa nimelichomeka mfuko wa nyuma, sigara nimeiweka sikioni halafu shingoni nina plasta, mpaka leo wananiogopa kichizi.
 
Hiyo mbinu nimeielewa
 
nisha kaa maeneo ya kigogo uswahilini..........aseeeee mida ya mvua vyooo vyote vina jaaa . na magogo yanakuja juu soo una chagua unyee juu ya gogo au unyee kwenye kiroba ukatupe mtoni..........the option is yours
Uswazi tuna maisha yetu kivyetu.
Huku huwa hatuiti 'nyonyamavi', mvua ikinyesha ndiyo wakati wa kutapisha vyoo
 
Kwamaana Pana na jumuifu Tu Juana na wahuni😂🤣
 
Mbinu zako zote ni old fashioned Kwanza hiyo number 4 ukijichanganya Tu umeisha
 
Njia ya 10 ambayo itapunguza mzunguko wote huu ni hii
10 TAFUTA ILI UKAJENGE MTAA USIO NA WAHUNI.
 
Bongo kuna wahuni ama kuna watu waliopigwa na maisha!.
muhuni unatakiwa uwe na pesa, sasa muhuni unagongea fegi mara jero mixer kukaba watu wasio na pesa! muhuni hata pisto huna!.
muhuni unakunywa ma taputapu!
Umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…