Mbinu za kujificha mtandaoni na kwa social media

Mbinu za kujificha mtandaoni na kwa social media

Hii inawahusu wakosoaji wa serikali na vyombo vyake na wezi wa mitandaoni
 
Hizi ni mbinu za kuficha ID yako:
1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara

Inaficha IP address yako halisi.

Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi.

VPN nzuri: NordVPN, ProtonVPN, ExpressVPN.


2. Tumia Browser ya TOR

Huficha utambulisho wako kwa kuzungusha mawasiliano yako kwenye "nodes" nyingi.

Inafaa sana kwa faragha ya hali ya juu (Deep Web, etc.)


3. Epuka kutumia majina au barua pepe halisi

Tengeneza akaunti kwa kutumia fake identity (majina yasiyo yako).

Tumia temporary/disposable email kama:

10minutemail.com

guerrillamail.com



4. Tumia simu na namba za muda (burner phones)

Kwa usajili kwenye mitandao ya kijamii au mawasiliano bila kufichua namba halisi.


5. Usitumie picha zako halisi

Kwenye wasifu au mitandao ya kijamii, tumia picha zisizokuonyesha au picha za generic (stock images).


6. Epuka kuingia kwenye akaunti zako binafsi ukiwa kwenye browser ya kujificha

Ukifungua akaunti yako ya Gmail au Facebook kwenye TOR au VPN, unajifichua tena.


7. Zima "location access" kwenye simu au browser

Hii huzuia tovuti au apps kujua mahali ulipo.
Kwani ni vita? Ikiwa unahitaji hayo yoote ndio uingie mtandaoni basi wewe itakuwa ni Mharifu
 
Hush puppi alifanya yote hayo na bado alikamatwa
Tatizo lake alileta utoto kwenye pesa za wizi.

Wenzake majambazi wanakula mlo mmoja, na kulalamika maisha magumu kama wengine, angali mapesa wameyaficha kwa muda mrefu, mpaka mwanya ukipatikana wanawekeza na hawajihusishi na uwekezaji ule moja kwa moja.

Yeye alikuwa anaiba halafu anatuonyesha, na kutufanya sisi wajinga anatuambia pesa zinatoka kwa Mungu.

Wakasimama naye wima, kisha wakalala naye mlalo mlalo, kulia kushoto wanaye mpaka akatema bungo.

Kuna majambazi wengi wanakuwa legit baada ya muda mrefu sana, yeye anaiba usiku asubuhi anatembea mdomo umenona na tooth pick, lazima wakupandie juu.
 
Tatizo lake alileta utoto kwenye pesa za wizi.

Wenzake majambazi wanakula mlo mmoja, na kulalamika maisha magumu kama wengine, angali mapesa wameyaficha kwa muda mrefu, mpaka mwanya ukipatikana wanawekeza na hawajihusishi na uwekezaji ule moja kwa moja.

Yeye alikuwa anaiba halafu anatuonyesha, na kutufanya sisi wajinga anatuambia pesa zinatuka kwa Mungu.

Wakasimama naye wima, kisha wakalala naye mlalo mlalo, kulia kushoto wanaye mpqaka akatema bungo.

Kuna majambazi wengi wanakuwa legit baada ya muda mrefu sana, yeye anaiba usiku asubuhi anatembea mdomo umenona na tooth pick, lazima wakupandie juu.
Haha na bungo kalitema kweli sio kitoto
 
Hizi ni mbinu za kuficha ID yako:
1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara

Inaficha IP address yako halisi.

Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi.

VPN nzuri: NordVPN, ProtonVPN, ExpressVPN.


2. Tumia Browser ya TOR

Huficha utambulisho wako kwa kuzungusha mawasiliano yako kwenye "nodes" nyingi.

Inafaa sana kwa faragha ya hali ya juu (Deep Web, etc.)


3. Epuka kutumia majina au barua pepe halisi

Tengeneza akaunti kwa kutumia fake identity (majina yasiyo yako).

Tumia temporary/disposable email kama:

10minutemail.com

guerrillamail.com



4. Tumia simu na namba za muda (burner phones)

Kwa usajili kwenye mitandao ya kijamii au mawasiliano bila kufichua namba halisi.


5. Usitumie picha zako halisi

Kwenye wasifu au mitandao ya kijamii, tumia picha zisizokuonyesha au picha za generic (stock images).


6. Epuka kuingia kwenye akaunti zako binafsi ukiwa kwenye browser ya kujificha

Ukifungua akaunti yako ya Gmail au Facebook kwenye TOR au VPN, unajifichua tena.


7. Zima "location access" kwenye simu au browser

Hii huzuia tovuti au apps kujua mahali ulipo.
Mbona shida sana!! Usumbufu wote huo kwa ajili ya nini? Ili uikashifu Serikali na kuwatukana viongozi?

Mwisho wewe mwenyewe ndiyo unateseka na ma fake IDs, ma VPN na ku switch off mida na location za muhimu.

Wewe kuwa raia mwema tu. Kama unafanya biashara chafu achana na social media au kuwa raia mwema, kosoa kwa adabu. Usiwe kama Mdude
 
Haha na bungo kalitema kweli sio kitoto
Kuna watu humu wanaibuka na vibiashara havina kichwa wala miguu baada ya muda unawasikia ni mabilionea.

Ukijifunza kuwa mchunguzi ukafuatilia utakuta kuna pesa za wizi nyingi tu lakini kibiashara chake kimeficha wizi.

sasa yeye analeta utoto mwiingi kwenye pesa za wizi lazima wakutapishe.
 
Back
Top Bottom