Mbinu za kujificha mtandaoni na kwa social media

Mbinu za kujificha mtandaoni na kwa social media

Either you dont have a finger or patient has no Anus
otherwise DRE is inevitable

Chaguo ni lako usitumie kabisa ama utumie Ukihitajika UTAITWA
 
Kuna watu humu wanaibuka na vibiashara havina kichwa wala miguu baada ya muda unawasikia ni mabilionea.

Ukijifunza kuwa mchunguzi ukafuatilia utakuta kuna pesa za wizi nyingi tu lakini kibiashara chake kimeficha wizi.

sasa yeye analeta utoto mwiingi kwenye pesa za wizi lazima wakutapishe.
Pesa zikikuzidi nguvu utajikuta tu unatumia
 
Pesa zikikuzidi nguvu utajikuta tu unatumia
Ukiwa mwizi mjinga, lakini wenye akili huwezi kutumia pesa za wizi kijinga hivyo.

Pesa ya wizi inataratibu zake kuirudisha kwenye mzunguko wa pesa.

Unaiba usiku asubuhi una nunua gari, unaakili kweli?
 
Ukiwa mwizi mjinga, lakini wenye akili huwezi kutumia pesa za wizi kijinga hivyo.

Pesa ya wizi inataratibu zake kuirudisha kwenye mzunguko wa pesa.

Unaiba usiku asubuhi una nunua gari, unaakili kweli?
Exactly inahitaji self control sana ukijisahau umeisha
 
Hash pap ali flex sana aka attract FBI,,, angebaki Low key anazila ela zake kijanja asingekamatwa mapema hivyo
Saddam Hussein aliingia chimbo kabisa lakini bado tu walimdaka, ishu ni nani anakutafuta na yupo tayari kuingia gharama kiasi gani
1000032854.jpg
 
Unatoboa sana tu, labda kama hujui. Kuna watu wanafanya hiyo sana, is why wako safe mpaka leo

Unadhan watu wabaya waliofanikiwa wanaishije duniani

Unatoboa sana tu, labda kama hujui. Kuna watu wanafanya hiyo sana, is why wako safe mpaka leo

Unadhan watu wabaya waliofanikiwa wanaishije duniani?
Wapo wanaotoboa lakini ni wachache sana na pengine harakati zao hazina tishio kivile
 
Wapo wanaotoboa lakini ni wachache sana na pengine harakati zao hazina tishio kivile
Huwez take extreme measure kama huna harakati hatari. Ni elimu ambayo ipo tatizo wabongo si wasomaji wa hayo mambo. Ukitaka utafundishwa na experts

wether ni wachache au wengi hakuna anaejua sababu crime world ni kificho
 
Yeah wana deal extremely na ma big fish hawa vidagaa sio sana
 
Back
Top Bottom