spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Pesa zikikuzidi nguvu utajikuta tu unatumiaKuna watu humu wanaibuka na vibiashara havina kichwa wala miguu baada ya muda unawasikia ni mabilionea.
Ukijifunza kuwa mchunguzi ukafuatilia utakuta kuna pesa za wizi nyingi tu lakini kibiashara chake kimeficha wizi.
sasa yeye analeta utoto mwiingi kwenye pesa za wizi lazima wakutapishe.
Ukiwa mwizi mjinga, lakini wenye akili huwezi kutumia pesa za wizi kijinga hivyo.Pesa zikikuzidi nguvu utajikuta tu unatumia
Exactly inahitaji self control sana ukijisahau umeishaUkiwa mwizi mjinga, lakini wenye akili huwezi kutumia pesa za wizi kijinga hivyo.
Pesa ya wizi inataratibu zake kuirudisha kwenye mzunguko wa pesa.
Unaiba usiku asubuhi una nunua gari, unaakili kweli?
Bin Laden hakutumia mtandao wala mawasiliano ya simu lakini alipatikana.Kuna taasisi fulani wakikutaka watakupata tu 🐼
Hash pap ali flex sana aka attract FBI,,, angebaki Low key anazila ela zake kijanja asingekamatwa mapema hivyoHush puppi alifanya yote hayo na bado alikamatwa
Saddam Hussein aliingia chimbo kabisa lakini bado tu walimdaka, ishu ni nani anakutafuta na yupo tayari kuingia gharama kiasi ganiHash pap ali flex sana aka attract FBI,,, angebaki Low key anazila ela zake kijanja asingekamatwa mapema hivyo
Hakika hamna ambacho hakipatikani mradi kipo chini ya Jua ni gharama kiasi gani mtu anataka kuingia ili apateSaddam Hussein aliingia chimbo kabisa lakini bado tu walimdaka, ishu ni nani anakutafuta na yupo tayari kuingia gharama kiasi ganiView attachment 3324408
Sio kweli mapinduzi ni lazima ushiriki wa mtu zaidi ya mmoja yaweza kuwa siri watatu ila wanne isiwe siri maana hujui unayemshirikisha ni nani.Hush puppi alifanya yote hayo na bado alikamatwa
Yah sema ndo anavuna alichopandaHash pap ali flex sana aka attract FBI,,, angebaki Low key anazila ela zake kijanja asingekamatwa mapema hivyo
Hush puppi alikamatwa sababu ya uzembe. Katika principles alizo zitoa mtoa mada kuna mbili alisahau baada ya kufanikiwa mwanzoniHush puppi alifanya yote hayo na bado alikamatwa
Mkuu sijakupata bado ulichomaanishaSio kweli mapinduzi ni lazima ushiriki wa mtu zaidi ya mmoja yaweza kuwa siri watatu ila wanne isiwe siri maana hujui unayemshirikisha ni nani.
Hush puppi alikamatwa sababu ya uzembe. Katika principles alizo zitoa mtoa mada kuna mbili alisahau baada ya kufanikiwa mwanzoni
Hata ukizifuata hizo zote hutoboi mkuu utakamatwa tuHush puppi alikamatwa sababu ya uzembe. Katika principles alizo zitoa mtoa mada kuna mbili alisahau baada ya kufanikiwa mwanzoni
Unatoboa sana tu, labda kama hujui. Kuna watu wanafanya hiyo sana, is why wako safe mpaka leoHata ukizifuata hizo zote hutoboi mkuu utakamatwa tu
Unatoboa sana tu, labda kama hujui. Kuna watu wanafanya hiyo sana, is why wako safe mpaka leo
Unadhan watu wabaya waliofanikiwa wanaishije duniani
Wapo wanaotoboa lakini ni wachache sana na pengine harakati zao hazina tishio kivileUnatoboa sana tu, labda kama hujui. Kuna watu wanafanya hiyo sana, is why wako safe mpaka leo
Unadhan watu wabaya waliofanikiwa wanaishije duniani?
Huwez take extreme measure kama huna harakati hatari. Ni elimu ambayo ipo tatizo wabongo si wasomaji wa hayo mambo. Ukitaka utafundishwa na expertsWapo wanaotoboa lakini ni wachache sana na pengine harakati zao hazina tishio kivile
Yeah wana deal extremely na ma big fish hawa vidagaa sio sanaHuwez take extreme measure kama huna harakati hatari. Ni elimu ambayo ipo tatizo wabongo si wasomaji wa hayo mambo. Ukitaka utafundishwa na experts
wether ni wachache au wengi hakuna anaejua sababu crime world ni kificho