Nawe uvumi ila umo,unafikaga huku?nimezoea kukuona kuleeee Uikrane[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaaaaaa uwiiiii
Hili nalo mkalifanyie kazi kina KASIMU na wenzako
Wee umejuaje wakati huna hela na huna demu🤣🤣🤣🤣Namba 2 na Namba 3 sawa, ila hiyo namba 1 na namba 4 chenga chenga kweli
Nadhani itanukia strawberry hahahHiyo Namba 1 akitumia ndom je?
Nimejua kwa kuwaza tu mkuu na kusoma story za wenye mademu humu jfWee umejuaje wakati huna hela na huna demu🤣🤣🤣🤣