Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Mwaka 2024 unagawanyika kwa mbili na maisha yatakuwa ya ahueni yaaaaaaaaaniiii dubwiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee maisha yenyewe ni kamari tu, hizi ndio zinatuvusha kutoka siku moja kwenda nyingineHujui kwamba kamari ni Kharamu.?
Uzi ufungweeeeNimeshawahi kuwa fundi wa hayo madubwi/mashine hauwezi kula pesa mpaka hilo dude lishibe kiwango maalum cha pesa Chief bila ya hivyo haupati chochote
Humo ndani kuna mfumo kama wa visahani ndio vinapokezana hizo coins so mpaka zijae ndio utaweza pata pesa ya maana
Code ni kuvizia ratiba ya wachina kuja kutoa hizo coins wewe ucheze kabla jamaa hawajaja kutoa hizo coins coz litakuwa full wewe ndio uende kulicheza
Wana akili sana hao jamaa TANZANIA serikali yetu haimuhurumii mwananchi kwani hayo madude yanambana zaidi mchezaji, uhuni tu
Naona na watoto wenu kizazi cha amapiano misomisondo kutwa wanashinda kwenye dubwiNdiyo ajira zetu lete madini hayo
🤣🤣🤣🤣
Au sioNaona na watoto wenu kizazi cha amapiano misomisondo kutwa wanashinda kwenye dubwi
Ova
View attachment 2862350
Duh naona tu majina ya wanyama ngombe ,chui, SimbaDubwi!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeniongezea mbinuNimeshawahi kuwa fundi wa hayo madubwi/mashine hauwezi kula pesa mpaka hilo dude lishibe kiwango maalum cha pesa Chief bila ya hivyo haupati chochote