Mbinu za kulila DUBWI

Mbinu za kulila DUBWI

Mie nilipoona heading nikaja fasta nikajua Dumbwi ni aina mpya ya wanawake labda ni wale wafupi wenye matako makubwa kumbe mambo ya kamari..?!
Hujui kwamba kamari ni Kharamu.?
 
Nimeshawahi kuwa fundi wa hayo madubwi/mashine hauwezi kula pesa mpaka hilo dude lishibe kiwango maalum cha pesa Chief bila ya hivyo haupati chochote

Humo ndani kuna mfumo kama wa visahani ndio vinapokezana hizo coins so mpaka zijae ndio utaweza pata pesa ya maana

Code ni kuvizia ratiba ya wachina kuja kutoa hizo coins wewe ucheze kabla jamaa hawajaja kutoa hizo coins coz litakuwa full wewe ndio uende kulicheza

Wana akili sana hao jamaa TANZANIA serikali yetu haimuhurumii mwananchi kwani hayo madude yanambana zaidi mchezaji, uhuni tu
Uzi ufungweeee

Wachina wanavuna sana mijihela

Ova
 
Ndiyo ajira zetu lete madini hayo
Naona na watoto wenu kizazi cha amapiano misomisondo kutwa wanashinda kwenye dubwi

Ova
20231230_144243.jpg
 
Sina uhakika kama nikweli,chukua sim ndgo (kiswaswadu) ukifika pale ktk mashine ipo lenz hiv kama jicho, wakat ushatumbukiza token zako na kuruhusu mashine ifanye kazi ww washa tochi na bonyeza namba kubwa ambayo ndio utakula pesa nyingi,mfano 100

Nikama umeshika remont ya tiv,
Angalizo:- usifanye ukagundulika ni hatar.
 
Nimeshawahi kuwa fundi wa hayo madubwi/mashine hauwezi kula pesa mpaka hilo dude lishibe kiwango maalum cha pesa Chief bila ya hivyo haupati chochote

Humo ndani kuna mfumo kama wa visahani ndio vinapokezana hizo coins so mpaka zijae ndio utaweza pata pesa ya maana

Code ni kuvizia ratiba ya wachina kuja kutoa hizo coins wewe ucheze kabla jamaa hawajaja kutoa hizo coins coz litakuwa full wewe ndio uende kulicheza

Wana akili sana hao jamaa TANZANIA serikali yetu haimuhurumii mwananchi kwani hayo madude yanambana zaidi mchezaji, uhuni tu
umeniongezea mbinu
 
Back
Top Bottom