Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Ahsante mkuu kwa elimu nzuri...nitakutafuta kwa ajili ya mradi wangu
When am prepared I will consult you for help.[/QUOTE
You are warmly welcome Mkuu, any time.
Mimi shida yangu nataka kuwa kuwa na ujuzi wa kuandika hizo project proposal/writer up. Unaweza kunisaidiaje mkuu. Au kama unaweza nipatatia maelezo namna ys kuandika hizo proposal naomba unisaidie.
Ikiwa nahitaji kuandaliwa andiko pia kujaziwa fomu kwa ajili ya kupeleka Foundation For Civil Society kwa round hii ya kwanza, ina-cost kiasi gani Kiongozi?
Hivi The Foundation ..... wanaazaga kupokea maombi kipindi gani?
asanteFoundation bado hawajaanza kupokea maombi ya ruzuku kwa miradi ya kiujumla.
Ila sasa wametoa Call for Proposal kwa asasi zinazo-deal na walemavu yaani People With Disability (PWD)
WITO WA MAOMBI YA RUZUKU KWA ASASI ZA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA -MWISHO WA MAOMBI NI saa 10:00 Alasiri siku ya Ijumaa Tarehe 13 Februari 2017.
http://www.thefoundation.or.tz/inde...lasiri-siku-ya-ijumaa-tarehe-13-februari-2017
Karibu kwa huduma.
Community project....fanyeni fundraising kijijini...hamasisheni wanajamii muishio na kutegemea daraja tarajiwa...mkifika hatua fulani pelekeni ombi la ruzuku ya ujenzi huo halmashauri yenu, pia tembelea ofisi ya mbunge wenu...Mfano Mimi katika kitongoji chetu tunahitaji ufadhili tujenge daraja ,naweza kufanyaje nipate ufadhili?
Community project....fanyeni fundraising kijijini...hamasisheni wanajamii muishio na kutegemea daraja tarajiwa...mkifika hatua fulani pelekeni ombi la ruzuku ya ujenzi huo halmashauri yenu, pia tembelea ofisi ya mbunge wenu...
Ur welcome MkuuThank you