Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

Mimi shida yangu nataka kuwa kuwa na ujuzi wa kuandika hizo project proposal/writer up. Unaweza kunisaidiaje mkuu. Au kama unaweza nipatatia maelezo namna ys kuandika hizo proposal naomba unisaidie.
 
Mimi shida yangu nataka kuwa kuwa na ujuzi wa kuandika hizo project proposal/writer up. Unaweza kunisaidiaje mkuu. Au kama unaweza nipatatia maelezo namna ys kuandika hizo proposal naomba unisaidie.

Mkuu nitafute kwa simu yangu hapo juu, nione namna gani tutaweza saidiana.
 
Hivi The Foundation ..... wanaazaga kupokea maombi kipindi gani?

Foundation bado hawajaanza kupokea maombi ya ruzuku kwa miradi ya kiujumla.
Ila sasa wametoa Call for Proposal kwa asasi zinazo-deal na walemavu yaani People With Disability (PWD)

WITO WA MAOMBI YA RUZUKU KWA ASASI ZA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA -MWISHO WA MAOMBI NI saa 10:00 Alasiri siku ya Ijumaa Tarehe 13 Februari 2017.
http://www.thefoundation.or.tz/inde...lasiri-siku-ya-ijumaa-tarehe-13-februari-2017
Karibu kwa huduma.
 
Ntarudi Mkuu...
Kazi nzuri..
 
Mfano Mimi katika kitongoji chetu tunahitaji ufadhili tujenge daraja ,naweza kufanyaje nipate ufadhili?
Community project....fanyeni fundraising kijijini...hamasisheni wanajamii muishio na kutegemea daraja tarajiwa...mkifika hatua fulani pelekeni ombi la ruzuku ya ujenzi huo halmashauri yenu, pia tembelea ofisi ya mbunge wenu...
 
Umemshauri vyema Mkuu.
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
Back
Top Bottom