Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Basi msikilize Future,kwenye Mask Off,kasema kitu hicho hichoUjumbe mzuri, sema mi sio shabiki wa Hawa madogo wa siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi msikilize Future,kwenye Mask Off,kasema kitu hicho hichoUjumbe mzuri, sema mi sio shabiki wa Hawa madogo wa siku hizi.
Sasa mzee mshangazi wa 44 unaukurupuaje dahVitu vingine Mungu aingilie kati tu
Kuna watu bila kuwakashifu dada zetu humu mioyo yao inakosa amani.Kumbe mashangazi wa humu ni warahisi hivyo?!!
Kiume pesa, hayo mengine ni makelele tu.Toa muongozo, mashangazi yaanzia umri gani?
Sisi tunaotumia footswagen tupe mbinu zetu, nina miadi na mdada kesho, nikishuka kwa mwendokasi nifanyeje ili nisionekane mnyonge?
Tuwaombeee vijanaSasa mzee mshangazi wa 44 unaukurupuaje dah
Mchawi pesa sio! Ngoja nikakope kwa ajili ya kesho.Kiume pesa, hayo mengine ni makelele tu.
Hakika mkuu maombi yahusike tena yale ya kufunga na kupasua mbengoTuwaombeee vijana
Unaendeleaje mkuu?Shangazi mambo..😊
Utajisahau tu!😂😂😂😂 sasa jichanganye!
For my opinion ni waliozaliwa 70's kurudi nyuma.Mashangazi tunaanzia age gani? Binafsi ili mtu aniite mshangazi anatakiwa kuwa amezaliwa kuanzia 2013 hadi sasa.
Wee Poker mimi wa 90 shauri zako [emoji23][emoji23]Yaani uzaliwe 2001 useme ni mzee na Chuchu zimesimama saa sita. Usininyime tunda mzee wako [emoji28]
Mashangazi age yao ni kuanzia 37 bhna mana hakuna mshangazi wa 35 yrs ama sivyo basi hapo ulipo sema awe wa 2013 upo sahihi kabisaMashangazi tunaanzia age gani? Binafsi ili mtu aniite mshangazi anatakiwa kuwa amezaliwa kuanzia 2013 hadi sasa.
Kama milima ya himalaya 😂Vle tako lina milima na mabonde
ID za JF kuanzia 2015 kurudi nyuma ni mashangazi 🤣🤣🤣🤣Mashangazi tunaanzia age gani? Binafsi ili mtu aniite mshangazi anatakiwa kuwa amezaliwa kuanzia 2013 hadi sasa.
Nasikia Kuna madam,mshangazi na jimamaHizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini
Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate uhakika wa kutimiziwa mahitaji yao na kutatuliwa shida zao ndogo ndogo.
Kwanza mwamba ingia jukwaa la ujenzi kule halafu ulizia gharama mbali mbali za vifaa vya ujenzi,,na ikikupendeza waeza kuulizia sehemu ambayo unaweza kupata viwanja kwa ajili ya makazi,,,,hapo mwamba utakuwa umeanza safari yako ya kuwakaribia mashangazi
Nenda jukwaa la gereji kule kwa wataalamu wa magari,ima jifanye unataka kujua aina nzuri ya gari na upatikanaji wa vipuli kwa bei rahisi,,au kutaka kujua gari gani ndio ziko hot kwasasa,,,,trust me hapo mishangazi itakuwa inakukodolea mimacho kazi kwako
Hakikisha unapoleta mastory katika uzi au unapo comment,,,tengeneza matukio ambayo yataonyesha kuwa unamiliki gari,,,kwa mfano "nilipofika pale nikapaki gari yangu kisha nikaenda sehemu fulani au ofisi fulani,,,,mwamba hapo unablow their mind
Ikikupendeza zaidi onyesha unajali sana kuhusu wanawake na uwe mkali kwa kila member ambaye kwa namna moja au nyingine anadharau madam zetu,,,hapo utakuwa umejipa hadhi ya juu kabisa kuhusu hawa viumbe
Linapokuja swala la kutoka out wikiend onyesha unapendelea kutembelea sehemu ambazo zina hadhi hapo mjini ambazo watu wenye hadhi zao hupendelea maeneo hayo,,,,hii inanikumbusha madam mmoja ambaye alikuwa best yangu alikuwa anawasiliana na mwamba mmoja katika mitandao ya kijamii
Huyo mwamba alikuwa anaswaga si za nchi hii,,kila anapoenda basi anamwambia yule madam,kwamba katoka sehemu fulani now anaenda sehemu fulani,,mara katoka supermarket fulani na sasa anaelekea kiwanja fulani,na sehumu zote hizo ni zenye hadhi yake mjini,,basi yule madam akawa ana hamu kweli ya kuonana na yule mwamba,,,hao ndio madam zetu.
Anyways turudi katika mada yetu sasa,,,baada ya hatua hizo now ni hatua za utekelezaji,,usiingie pm ghafla kama mvamizi bali tengeneza ukaribu na mshangazi uliye mpoint.
Hakikisha una get their attention kwa kulike comment zao hata kama za kipuuzi,,,lengo ni kuwa familiar kwake kwahiyo hata ukiingia pm unakuwa sio mgeni kwake
Angalizo,,,tumieni mbinu zozote mnazo weza lakini msizitumie kwa madam mmoja huku jf huwa napenda kumwita "my" siku hizi, mwenyewe anajijua hahaha! It does'nt matter whether am serious or just joking but i do like her anyway
Mbinu nyingine nitawapa mara baada ya mwanasheria wangu kupatikana hewani naona yupo sehemu ambayo network haipatikani vizuri
Utakuja kunipa medali zangu baadae ukizifuata mbinu hizi
Ni hayo tu!
Nyie vitoto vya 90s bado vibichi hamuwezi kuwa mashangazi. Early 80s kurudi nyuma, yaani wale wako 40s ndio mashangazi 🤣🤣🤣Mashangazi tunaanzia age gani? Binafsi ili mtu aniite mshangazi anatakiwa kuwa amezaliwa kuanzia 2013 hadi sasa.