Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na za kuwapata masponser 😀😀😂😂😂😂 sasa jichanganye!
Wanatumia nguvu nyingi sana aiseeee...Kuna Mmoja aliwahi tumia hii mbinu ya kunidolishia nyumba na gari nilimvua vyeo immediately!Tunarudia kuwaambia haiombwi hivyo 😆
Uliangalia ile interviw ya mume wa miriam bonge???Wanatumia nguvu nyingi sana aiseeee...Kuna Mmoja aliwahi tumia hii mbinu ya kunidolishia nyumba na gari nilimvua vyeo immediately!
Ractis 🤣🤣🤣🤣🤣Uliangalia ile interviw ya mume wa miriam bonge???
Alivyokua anasifia ractis
Ni balaa
Na pia inategemea unamringishia nani.....Sasa unaweza kumringishia mtu kumbe yeye anavyo kukuzidiWanatumia nguvu nyingi sana aiseeee...Kuna Mmoja aliwahi tumia hii mbinu ya kunidolishia nyumba na gari nilimvua vyeo immediately!
Hapo ndio Kisanga!Binafsi hata kama kanizidi hanitetemeshi maana kuwa na Mimi haimaanishi kuwa zile nyumba ndio zitakuwa zangu😁Na pia inategemea unamringishia nani.....Sasa unaweza kumringishia mtu kumbe yeye anavyo kukuzidi
Eeee ni balaaa nikasema huyu jamaa duhRactis 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Yaani wakaka wa siku hizi Wana balaa sanaUliangalia ile interviw ya mume wa miriam bonge???
Alivyokua anasifia ractis
Ni balaa