Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

Mashangazi hayadati na mambo kama hayo madogo,kwanza hela yanazo kwa hio ukiwa una kula bata sehemu zao unawapata kirahisi tu tena kwa kukutunuku pasi hata na ku~fake!
 
Mashangazi hayadati na mambo kama hayo madogo,kwanza hela yanazo kwa hio ukiwa una kula bata sehemu zao unawapata kirahisi tu tena kwa kukutunuku pasi hata na ku~fake!
Mashangazi yana grade yake,,, ili uende sawa na mashangazi inatakiwa walau uwe uko vizur japo kiasi

Ila mijimama wewe nenda na nguo zako tu yatakupokea na kukulea na yanakawaida ya kusimamia show nzima
 
ya nin kujipa stress ya ku~fake wakati ukizagaa maeneo yao unawapata?hawa wa humu ni vimbaumbau na midume ilojivisha uanamke yatapeli mandezi
 
Si Bora kutromba malaya?kazi zote hizo za nn?ukizingatia mashangazi skuizi nayo yamesanuka kijana tafuta fweza
 
Wewe itakuwa unazungumzia mashangazi fekero a.k.a waya mkali mbuzi kalamba reli.

Mshangazi OG self-made haangalii swaga hizo za kindezi. 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom