Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

Toa muongozo, mashangazi yaanzia umri gani?

Sisi tunaotumia footswagen tupe mbinu zetu, nina miadi na mdada kesho, nikishuka kwa mwendokasi nifanyeje ili nisionekane mnyonge?
Mishangazi kuanzia 40's

Wa miguu ntakuja na mbinu zenu soon
 
Nasikia Kuna madam,mshangazi na jimama

Kwahyo tofaout zao ni ZIPI ,?
Madam kwangu ni mwanamke ambaye anajielewa na mwenye heshima zake

Mshangazi ni mwanamke ambaye age imeenda na huyu mara nyingi hamtegemei sana mwanaume kwakuwa naye anajiweza na anaweza kumsapoti mwanaume akimpenda lkn kwakuwa ni mwanamke lazima awe na mwanaume ambaye anaweza kujisimamia kwa kiasi fulani

Jimama hawa huwa wanawalea wanaume kwa kutimiziwa ashki zao za mapenzi,,ndo mara nyingi husimamia show kwa kila kitu
 
Sema Kuna mda inahitaji moyo... imagine umemuinamisha mumamaz wa miaka 44 bafuni
Usipate shida kumuinamisha, unaweza kumbeba kirahisi tu kurahisisha kazi yako
 

Attachments

  • Screenshot_20240201-224007_Quora.jpg
    Screenshot_20240201-224007_Quora.jpg
    181.1 KB · Views: 7
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini

Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate uhakika wa kutimiziwa mahitaji yao na kutatuliwa shida zao ndogo ndogo.

Kwanza mwamba ingia jukwaa la ujenzi kule halafu ulizia gharama mbali mbali za vifaa vya ujenzi, na ikikupendeza waeza kuulizia sehemu ambayo unaweza kupata viwanja kwa ajili ya makazi, hapo mwamba utakuwa umeanza safari yako ya kuwakaribia mashangazi

Nenda jukwaa la gereji kule kwa wataalamu wa magari, ima jifanye unataka kujua aina nzuri ya gari na upatikanaji wa vipuli kwa bei rahisi,,au kutaka kujua gari gani ndio ziko hot kwasasa, trust me hapo mishangazi itakuwa inakukodolea mimacho kazi kwako

Hakikisha unapoleta mastory katika uzi au unapo comment, tengeneza matukio ambayo yataonyesha kuwa unamiliki gari, kwa mfano "nilipofika pale nikapaki gari yangu kisha nikaenda sehemu fulani au ofisi fulani, mwamba hapo unablow their mind

Ikikupendeza zaidi onyesha unajali sana kuhusu wanawake na uwe mkali kwa kila member ambaye kwa namna moja au nyingine anadharau madam zetu, hapo utakuwa umejipa hadhi ya juu kabisa kuhusu hawa viumbe

Linapokuja swala la kutoka out wikiend onyesha unapendelea kutembelea sehemu ambazo zina hadhi hapo mjini ambazo watu wenye hadhi zao hupendelea maeneo hayo, hii inanikumbusha madam mmoja ambaye alikuwa best yangu alikuwa anawasiliana na mwamba mmoja katika mitandao ya kijamii

Huyo mwamba alikuwa anaswaga si za nchi hii, kila anapoenda basi anamwambia yule madam, kwamba katoka sehemu fulani now anaenda sehemu fulani, mara katoka supermarket fulani na sasa anaelekea kiwanja fulani, na sehumu zote hizo ni zenye hadhi yake mjini, basi yule madam akawa ana hamu kweli ya kuonana na yule mwamba, hao ndio madam zetu.

Anyways turudi katika mada yetu sasa, baada ya hatua hizo now ni hatua za utekelezaji, usiingie pm ghafla kama mvamizi bali tengeneza ukaribu na mshangazi uliye mpoint.

Hakikisha una get their attention kwa kulike comment zao hata kama za kipuuzi, lengo ni kuwa familiar kwake kwahiyo hata ukiingia pm unakuwa sio mgeni kwake

Angalizo, tumieni mbinu zozote mnazo weza lakini msizitumie kwa madam mmoja huku jf huwa napenda kumwita "my" siku hizi, mwenyewe anajijua hahaha! It does'nt matter whether am serious or just joking but i do like her anyway

Mbinu nyingine nitawapa mara baada ya mwanasheria wangu kupatikana hewani naona yupo sehemu ambayo network haipatikani vizuri

Utakuja kunipa medali zangu baadae ukizifuata mbinu hizi

Ni hayo tu!
Na huyo unayemwita my asome hapa ajue mbinu unazozitumia juu yake mpaka huo umai ukatengenezwa🤣🤣
 
aisee hii SI ni sawa na kuji tekenya mwenyewe, Kisha ujione Ume furahi?.

Ya nini uji kute taita, akati kwenu jumba la udongo Ali sikika afande sele kwenye darubini.
Hapo sasa umefanikiwa kumvuta karibu huyo mushangazi alafu unashindwa kumuhudimia kuenenda na beats za JF zilizomvutia kwako in real life.😆
Why pretending?
Hakuna wakati mgumu kwa mwanaume kuombwa hela uliyomuahidi jimama wako alafu huna🤣🤣
 
Back
Top Bottom