jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kuna midume inatumia id za kike,mleta mana naona anahatarisha mkundugu wake,umeshindwa kutongoz wanawake mtaani au social medias zenye real ids unakuja kutongoza huku kwa anonymous.?utakua hujielewiUnawatega watu ambao huwajui, hii ni sawa na kudeki bahari