Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #121
Aaah mi hiyo sekta nipo vizuri kwa kweli.... mpaka maandazi napika boss... nawazaga sana nifungue mgahawaaSema unajua kulirusha vema boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah mi hiyo sekta nipo vizuri kwa kweli.... mpaka maandazi napika boss... nawazaga sana nifungue mgahawaaSema unajua kulirusha vema boss
Asante, nausubiri huo mualiko.Sana yaaani, ya leo kiboko... nitakukaribisha siku moja
😂😂😂😂Naanto Mushi amenisikitisha kuniweka kwenye hiyo list, sikuwahi kumpinga, naona ametafuta sababu asitukaribishe😂😂
Tutaachaje?😂😂😂😂
Na akitukaribisha hakika hatukosi kwenda kula.
Hayaaa... imepitaa hiyoo.. usijaliiAsante, nausubiri huo mualiko.
Naaam mkuuu... tupo pamoja.. huwa unapika mwenyewe au cha kwenye bar.. jaribu cha home made siku moja
Naaaam mkuu.. hapo imetuliaHome made kaka flavor niitakayo
🤣Nakuja share location haraka😂
Yeah, bado sana.Kama ulichoelezea ndo hicho hapo kwenye sahani, bob kwenye kitimoto uko unga sana.
🤣🤣 THE BIG SHOW na FaizaFoxy mnaitwa huku
Njoo mle sotojo mnawiri
Sio mnatembea mtaani mmekondeana na kupauka Kama mwaka saruji🤣🤣🤣
Ulafi tuh,nyama zoote hizo unaanzaje kula kiti moto?we umeskia wapi kitoweo kinaenda hadi periods??
Uchafu huo nani anataka
Sikujua kama na wewe ni mjinga kiasi hiki,naomba kasome oestrous cycle ndio uje hapa.
Je na madume ya kitimoto nayo huenda period?
Kama hamli kwa imani yenu mkae kutulia lakini sio kueneza ujinga.
SASA si umeshasema madume?
Wewe kama una kula,kula tuh kwani nani kakuzuia?hata bible yako imekataza,au nipe kifungu Gani bible imekuruhusu kula huyo mdudu?
So,wanaoliwa ni kitimoto madume tuh?majike hawaliwi...
Leo unaiamini biblia si mnasemaga biblia hii ni feki imechakachuliwa[emoji28].
Kuhusu kitimoto kuingia period huo ni uzushi na uongo,hapo ndio mnapokosea kama hamli mkae kutulia sio kueneza upuuzi usio na mantiki.

Bible ni kitabu Cha Mungu alipewa nacho nabii Issa Kwa wana wa Israel, Sasa wazungu wamekichakachua na kukifanya Chao,iweje makao makuu yawe Roma na Jesus alihubir neno lake mashariki ya Kati?we hujiulizi