PreGE2025 Mbinu za kuzuia uchaguzi ili NO REFORMS NO ELECTION ianze kueleweka haraka kwa watawala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Boston12

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
506
Reaction score
1,678
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa pamoja wakati huu ili kukiondoa CCM madarakani Hilo linawezekana endapo baadhi ya wagombea wa CHADEMA wataunga mkono hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Viongozi wa CHADEMA wasijiamini sana kwa tume hii ya uchaguzi kwamba wanaweza kuibuka washindi wakati wakurungezi wa uchaguzi ni wateule wa rais hivyo wao kutangazwa washindi Hilo haliwezekani.

Hivyo CHADEMA kwa pamoja waungane na sisi wananchi tuungane nao kukataa uhuni huu unaofanyika katika chaguzi mbali mbali nchini TANZANIA.
Mbinu ni kama ifuatavyo;
  1. Kuzuia uandikishaji wa wapiga kura unaoendelea kupitia INEC. Hivyo wanasheria wa CHADEMA na watetezi wa demokrasia nchini wapeleke shitaka mahakamani la kusitisha zoezi Hilo mpaka serikali itakapoleta mabadiliko ya kanuni za uchaguzi mkuu utakao leta usawa na haki kwa vyama vyote juu ya kutangazwa washindi.
  2. CHADEMA iandae majina ya wanachama wake walio uwawa kwa shinikizo la serikali chini ya ccm na bila ripoti yoyote ya hatua madhubiti ya kufatilia vifo hivyo. Vifo na kupotea kwa makada wa CHADEMA kama Mzee kibao, Soka Mawazo, Ben Saanane na wengine wengi lazima iwe ni kama la moto kwa serikali hii ya awamu ya sita.
  3. Majina hayo yakishakusanywa na kuandaa ripoti yake, kazi itakayofuata ni kuanza kutumia ripoti hiyo kwenye nchi wahisani wa serikali ya TANZANIA. Hivyo ripoti ya vifo hivyo tata na kupotea kwa wanachama wa CHADEMA yatatumwa;
  4. Benki ya Dunia
  5. IMF
  6. kwa serikali ya Marekani
  7. Umoja wa nchi za ulaya
  8. Kwa serikali ya China
  9. Mahakama ya kimataifa (ICC) ili ije ifanye ukaguzi wa vifo na kupotezwa kwa wananchi wengi wenye misimamo kinzani juu ya serikali. Uchaguzi ukifanikiwa baadhi ya viongozi lazima watashikwa kwenda kujibu mashitaka kwa kudhuulumu haki ya kuishi kwa watu wa TANZANIA.
Lengo ni kuwapa ripoti namna pesa zao na misaada ya magari kwa vyombo vya usalama vinavyotumika kuhumiza watanzania kwa kuwaua na kuwapa ulemavu wa KUDUMU makada wa chama kikuu Cha upinzani nchini TANZANIA.
Hivyo ombi la CHADEMA kwa mashirikisho hayo na nchi hizo ni kuziomba kuinyima Tanzania misaada inayokuja kuhumiza watanzania wasio na hatia au kuwaomba wapush agenda ya nchi kuleta mabadiliko ya uchaguzi ili waweze kukaa meza moja.

Mbinu nyingine ni kumobilize wananchi wajipange kwa lolote endapo ccm itaamua kuweka pamba masikioni kutoa kuleta mabadiliko tarajiwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ili uwe wa haki na uwazi.
Wananchi wapewe elimu na watiwe hasira juu ya ugumu wa maisha wanayopitia ni kutokana na baadhi ya vigogo wa serikali kujirimbikizia ukwasi na utajiri kwa wizi na ufisadi pasipo shinikizo lolote kutaka wawajibike kwa rushwa na ufisadi wao.

Kwa mbinu hizi naamini No reforms No election itafanyiwa kazi haraka mno.
 
Mwenyekiti ameshasema, "Lazima tuwe na silaha kama wao". Naamini anakamilisha mipango kabambe ya kupata hizo silaha. Nyumbu wakae mkao wa kula tu.
 
Zoezi la kuandikisha kwenye Daftari la Wapigakura liendelee mara tu REFORMS zitakapofanyika.
 
No reform No election ikifanikiwa tu, mgombea urais asimame Heche.
Tunamuhitaji Tundu Lissu awe raisi wetu hata kwa miaka mitano ili arejeshe rasilimali za nchi yetu ikiwemo misitu yetu tunataka pia atujengee strong institutions kwenye hili taifa.
 
Aisee akifanikisha Hilo jambo la kutengeneza taifa la TANZANIA kuwa taasisi imara litakuwa jambo zuri mno.
RUSHWA na UPIGAJI umekuwa ni wa kutisha katika Taifa hili.
 
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa pamoja wakati huu ili kukiondoa CCM madarakani Hilo linawezekana endapo baadhi ya wagombea wa CHADEMA wataunga mkono hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Viongozi wa CHADEMA wasijiamini sana kwa tume hii ya uchaguzi kwamba wanaweza kuibuka washindi wakati wakurungezi wa uchaguzi ni wateule wa rais hivyo wao kutangazwa washindi Hilo haliwezekani.

Hivyo CHADEMA kwa pamoja waungane na sisi wananchi tuungane nao kukataa uhuni huu unaofanyika katika chaguzi mbali mbali nchini TANZANIA.
Mbinu ni kama ifuatavyo;
  1. Kuzuia uandikishaji wa wapiga kura unaoendelea kupitia INEC. Hivyo wanasheria wa CHADEMA na watetezi wa demokrasia nchini wapeleke shitaka mahakamani la kusitisha zoezi Hilo mpaka serikali itakapoleta mabadiliko ya kanuni za uchaguzi mkuu utakao leta usawa na haki kwa vyama vyote juu ya kutangazwa washindi.
  2. CHADEMA iandae majina ya wanachama wake walio uwawa kwa shinikizo la serikali chini ya ccm na bila ripoti yoyote ya hatua madhubiti ya kufatilia vifo hivyo. Vifo na kupotea kwa makada wa CHADEMA kama Mzee kibao, Soka Mawazo, Ben Saanane na wengine wengi lazima iwe ni kama la moto kwa serikali hii ya awamu ya sita.
  3. Majina hayo yakishakusanywa na kuandaa ripoti yake, kazi itakayofuata ni kuanza kutumia ripoti hiyo kwenye nchi wahisani wa serikali ya TANZANIA. Hivyo ripoti ya vifo hivyo tata na kupotea kwa wanachama wa CHADEMA yatatumwa;
  4. Benki ya Dunia
  5. IMF
  6. kwa serikali ya Marekani
  7. Umoja wa nchi za ulaya
  8. Kwa serikali ya China
Lengo ni kuwapa ripoti namna pesa zao na misaada ya magari kwa vyombo vya usalama vinavyotumika kuhumiza watanzania kwa kuwaua na kuwapa ulemavu wa KUDUMU makada wa chama kikuu Cha upinzani nchini TANZANIA.
Hivyo ombi la CHADEMA kwa mashirikisho hayo na nchi hizo ni kuziomba kuinyima Tanzania misaada inayokuja kuhumiza watanzania wasio na hatia au kuwaomba wapush agenda ya nchi kuleta mabadiliko ya uchaguzi ili waweze kukaa meza moja.

Mbinu nyingine ni kumobilize wananchi wajipange kwa lolote endapo ccm itaamua kuweka pamba masikioni kutoa kuleta mabadiliko tarajiwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ili uwe wa haki na uwazi.
Wananchi wapewe elimu na watiwe hasira juu ya ugumu wa maisha wanayopitia ni kutokana na baadhi ya vigogo wa serikali kujirimbikizia ukwasi na utajiri kwa wizi na ufisadi pasipo shinikizo lolote kutaka wawajibike kwa rushwa na ufisadi wao.

Kwa mbinu hizi naamini No reforms No election itafanyiwa kazi haraka mno.
😁😁👇👇
20250327_151440.jpg
 
Mbinu nyingine ni kumobilize wananchi wajipange kwa lolote endapo ccm itaamua kuweka pamba masikioni kutoa kuleta mabadiliko tarajiwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ili uwe wa haki na uwazi.
Hii ndiyo kazi kubwa na muhimu kuliko jambo jingine lolote kwa wakati huu. Bahati nzuri CHADEMA tayari wapo 'field'.
Tuwatakie mafanikio kwa kazi hii wanayo ifanya sasa, kwani ufanisi wake ndio utakao zaa matunda ya hayo mengine uliyo yaelezea.
 
Mwenyekiti ameshasema, "Lazima tuwe na silaha kama wao". Naamini anakamilisha mipango kabambe ya kupata hizo silaha. Nyumbu wakae mkao wa kula tu.
Wale nyumbu wa kijani wamesharuka na beat wanadhani silaha hizo ni kuletwa kwa virusi vya Mpox!!
 
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa pamoja wakati huu ili kukiondoa CCM madarakani Hilo linawezekana endapo baadhi ya wagombea wa CHADEMA wataunga mkono hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION.
Viongozi wa CHADEMA wasijiamini sana kwa tume hii ya uchaguzi kwamba wanaweza kuibuka washindi wakati wakurungezi wa uchaguzi ni wateule wa rais hivyo wao kutangazwa washindi Hilo haliwezekani.

Hivyo CHADEMA kwa pamoja waungane na sisi wananchi tuungane nao kukataa uhuni huu unaofanyika katika chaguzi mbali mbali nchini TANZANIA.
Mbinu ni kama ifuatavyo;
  1. Kuzuia uandikishaji wa wapiga kura unaoendelea kupitia INEC. Hivyo wanasheria wa CHADEMA na watetezi wa demokrasia nchini wapeleke shitaka mahakamani la kusitisha zoezi Hilo mpaka serikali itakapoleta mabadiliko ya kanuni za uchaguzi mkuu utakao leta usawa na haki kwa vyama vyote juu ya kutangazwa washindi.
  2. CHADEMA iandae majina ya wanachama wake walio uwawa kwa shinikizo la serikali chini ya ccm na bila ripoti yoyote ya hatua madhubiti ya kufatilia vifo hivyo. Vifo na kupotea kwa makada wa CHADEMA kama Mzee kibao, Soka Mawazo, Ben Saanane na wengine wengi lazima iwe ni kama la moto kwa serikali hii ya awamu ya sita.
  3. Majina hayo yakishakusanywa na kuandaa ripoti yake, kazi itakayofuata ni kuanza kutumia ripoti hiyo kwenye nchi wahisani wa serikali ya TANZANIA. Hivyo ripoti ya vifo hivyo tata na kupotea kwa wanachama wa CHADEMA yatatumwa;
  4. Benki ya Dunia
  5. IMF
  6. kwa serikali ya Marekani
  7. Umoja wa nchi za ulaya
  8. Kwa serikali ya China
  9. Mahakama ya kimataifa (ICC) ili ije ifanye ukaguzi wa vifo na kupotezwa kwa wananchi wengi wenye misimamo kinzani juu ya serikali. Uchaguzi ukifanikiwa baadhi ya viongozi lazima watashikwa kwenda kujibu mashitaka kwa kudhuulumu haki ya kuishi kwa watu wa TANZANIA.
Lengo ni kuwapa ripoti namna pesa zao na misaada ya magari kwa vyombo vya usalama vinavyotumika kuhumiza watanzania kwa kuwaua na kuwapa ulemavu wa KUDUMU makada wa chama kikuu Cha upinzani nchini TANZANIA.
Hivyo ombi la CHADEMA kwa mashirikisho hayo na nchi hizo ni kuziomba kuinyima Tanzania misaada inayokuja kuhumiza watanzania wasio na hatia au kuwaomba wapush agenda ya nchi kuleta mabadiliko ya uchaguzi ili waweze kukaa meza moja.

Mbinu nyingine ni kumobilize wananchi wajipange kwa lolote endapo ccm itaamua kuweka pamba masikioni kutoa kuleta mabadiliko tarajiwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ili uwe wa haki na uwazi.
Wananchi wapewe elimu na watiwe hasira juu ya ugumu wa maisha wanayopitia ni kutokana na baadhi ya vigogo wa serikali kujirimbikizia ukwasi na utajiri kwa wizi na ufisadi pasipo shinikizo lolote kutaka wawajibike kwa rushwa na ufisadi wao.

Kwa mbinu hizi naamini No reforms No election itafanyiwa kazi haraka mno.
Uandikishaji uliisha tarehe 25
 
Back
Top Bottom