MLALE
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 217
- 420
Ushawahi jiuliza ni kwa nini kuna matajiri na masikini? Utofauti huo upo katika akili zetu (mindset), na pia katika mitazamo yetu (attitudes), japo kuna sababu nyingine nyingi.
Naandika haya baada ya kufanikiwa katika Nyanja ya KIELIMU, KIJAMII na KIUCHUMI kwa kuweza kuifanya akili yangu iwaze vitu chanya tu (soma na pakua app ya kukuhamasisha kuwaza chanya kama ya mwanadada Roda Bynes-THE SECRET).
Kuna Sababu nyingi za kufanikiwa, KIUCHUMI, KIJAMII, KISIASA NA HATA KIDINI, ila mimi nimejikita zaidi juu ya matumizi ya akili zetu, ushawahi ona utofauti wa mzazi anayemwamasisha mwanae kwamba anaweza jambo fulani na ambaye anamwambia mwanae hataweza jambo fulani?
Ushawahi ona watu ambao wapo vizuri kwenye kuongea mbele za watu na ambao hawawezi kabisa kuongea mbele za watu?
NGUVU YA KWANZA KABISA IPO KWENYE AKILI ZETU. BADILISHA MTAZAMO WAKO SASA JUU YA VITU MBALIMBALI, ANZA POLE POLE UTAKUJA NISHUKURU.