Mbinu za upimaji maji aridhini

Mbinu za upimaji maji aridhini

Nguvuyabwana

Senior Member
Joined
Jun 6, 2019
Posts
195
Reaction score
483
Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo.

Je, njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
 
Hiyo ni traditional method inaitwa "water witching". Kunakua na copper wire mbili, unatembea nazo inafika mahala "panaposemekana" pana maji zinacross. Unaweza kutumia vijiti pia.

Sasa izo zina detect maji yaliyo karibu sana na surface. Especially aya yaliyo ingia baada ya mvua kunyesha au water table.

Wewe kama unataka kuchimba kisima kirefu usitumie iyo method, ni uwongo. Fanya tu upambane na geophysical method.

Pili, iyo method haina science behind.
 
Shukrani kiongozi, samahani kama kuna wadau wanachimba visima kwa dodoma unaweza nichekia namba zao niwaone maana jamaa kufanya ivo anadai 300k 😅
 
Kwa bei hyo rahisi lazima upimiwe kwa style hyo...maana ata vifaa vyao ni dhaifu..
 
Mimi bei ni laki 8...ukiwa tayari njoo dm...tukutane site..alafu urudi na majibu
 
Hiyo ni traditional method inaitwa "water witching". Kunakua na copper wire mbili, unatembea nazo inafika mahala "panaposemekana" pana maji zinacross. Unaweza kutumia vijiti pia.

Sasa izo zina detect maji yaliyo karibu sana na surface. Especially aya yaliyo ingia baada ya mvua kunyesha au water table.

Wewe kama unataka kuchimba kisima kirefu usitumie iyo method, ni uwongo. Fanya tu upambane na geophysical method.

Pili, iyo method haina science behind.
Hahahah boss atoe hela tumpigie ves
 
Back
Top Bottom