Mbinu za upimaji maji aridhini

Mbinu za upimaji maji aridhini

Mtoa mada huyo Jamaa kwenye video anatumia copper wire ambazo zikiwa deflect hivo means hiyo sehemu kuna weak zone ila ili kujua depth ya kupima lazima ufanye geophysics survey itakupa pia aina ya mwamba means unapima resistivity ya point yako.. So anavyohesabu hapo kujifanya wingi wa maji sio kweli wingi wa maji utaujua baada ya kisima kuchimbwa kisha ufanye pumping test utajua uwezo wa kisima chako
 
Shukrani kiongozi, samahani kama kuna wadau wanachimba visima kwa dodoma unaweza nichekia namba zao niwaone maana jamaa kufanya ivo anadai 300k 😅
Huko dodoma maji kuyapata ni kuanzia mita 80
 
Nikipima utaweza kujua. 1:kina cha maj kutokea juu ya ardhi. 2;ujazo wa maji. 3:kiwango cha chumvi 4:mikondo ya maji ....hapa details hizi mashine nyingi za kupimia hazina ..na hata accuracy yake ya kupima kina ni mdogo ....ndio maana hata bei zao hadi 250000 unafanyiwa survey .....

Hivo unaweza jikuta unaingia hasara ya mamilioni kwa cheap survey
 
Tunamsubiri Class mate
Ebwana, taarifa niliyo nayo hawezi kufanya kazi Dodoma. Sababu moja yeye ana mitambo inayochimba kwa technologia ya mud rotter huko Dom wanahitaji Hammer (njia ya kupiga na kupuliza upepo miamba). Njia anayotumia yeye inafaa mazingira ya ukanda huu wa Pwani usio na miamba. Uko mji gani mkuu?
 
Sawa Mkuu ntashukuru sana!
Ebwana, taarifa niliyo nayo hawezi kufanya kazi Dodoma. Sababu moja yeye ana mitambo inayochimba kwa technologia ya mud rotter huko Dom wanahitaji Hammer (njia ya kupiga na kupuliza upepo miamba). Njia anayotumia yeye inafaa mazingira ya ukanda huu wa Pwani usio na miamba.
 
Ebwana, taarifa niliyo nayo hawezi kufanya kazi Dodoma. Sababu moja yeye ana mitambo inayochimba kwa technologia ya mud rotter huko Dom wanahitaji Hammer (njia ya kupiga na kupuliza upepo miamba). Njia anayotumia yeye inafaa mazingira ya ukanda huu wa Pwani usio na miamba.
Sawa kaka, shukrani. Kuna jamaa nimewapata tupo tunaelekea site
 
Back
Top Bottom