Nguvuyabwana
Senior Member
- Jun 6, 2019
- 195
- 483
Au sio πPia kuna njia ya online
Shukrani kiongozi, samahani kama kuna wadau wanachimba visima kwa dodoma unaweza nichekia namba zao niwaone maana jamaa kufanya ivo anadai 300k πHiyo ni traditional method inaitwa "water witching". Kunakua na copper wire mbili, unatembea nazo inafika mahala "panaposemekana" pana maji zinacross. Unaweza kutumia vijiti pia.
Sasa izo zina detect maji yaliyo karibu sana na surface. Especially aya yaliyo ingia baada ya mvua kunyesha au water table.
Wewe kama unataka kuchimba kisima kirefu usitumie iyo method, ni uwongo. Fanya tu upambane na geophysical method.
Pili, iyo method haina science behind.
Jamaa wapo Dar nikupe mawasiliano yao?Shukrani kiongozi, samahani kama kuna wadau wanachimba visima kwa dodoma unaweza nichekia namba zao niwaone maana jamaa kufanya ivo anadai 300k π
Sasa mkuu mpaka kuwasafirisha hadi Dom si itakua gharama sana kibajeti, ningepata wa Dodoma ingefaa zaidi. Eneo ni Nkuhungu-ndachiJamaa wapo Dar nikupe mawasiliano yao?
Ngoja kupambazuke ntamsikiliza anasemaje, maana ni classmate wangu ana miliki mitambo.Sasa mkuu mpaka kuwasafirisha hadi Dom si itakua gharama sana kibajeti, ningepata wa Dodoma ingefaa zaidi. Eneo ni Nkuhungu-ndachi
Sawa Mkuu ntashukuru sana!Ngoja kupambazuke ntamsikiliza anasemaje, maana ni classmate wangu ana miliki mitambo.
Kuna mmoja yupo Dodoma je nikupe mawasiliano yakeSawa Mkuu ntashukuru sana!
Tunamsubiri Class mateNgoja kupambazuke ntamsikiliza anasemaje, maana ni classmate wangu ana miliki mitambo.
Fanya jambo mkuu!Kuna mmoja yupo Dodoma je nikupe mawasiliano yake
Sawa mkuu.Tunamsubiri Class mate
Hahahah boss atoe hela tumpigie vesHiyo ni traditional method inaitwa "water witching". Kunakua na copper wire mbili, unatembea nazo inafika mahala "panaposemekana" pana maji zinacross. Unaweza kutumia vijiti pia.
Sasa izo zina detect maji yaliyo karibu sana na surface. Especially aya yaliyo ingia baada ya mvua kunyesha au water table.
Wewe kama unataka kuchimba kisima kirefu usitumie iyo method, ni uwongo. Fanya tu upambane na geophysical method.
Pili, iyo method haina science behind.
Unayo terameter au detector ganiMimi bei ni laki 8...ukiwa tayari njoo dm...tukutane site..alafu urudi na majibu
GER detectorUnayo terameter au detector gani
Unachimba pia au unadetect tu mkuu!GER detector
Mkuu mkuu!Kuna mmoja yupo Dodoma je nikupe mawasiliano yake