Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeambiwa niandae walau m200,gharama ya ujenzi ni kiasi gani hiyo nyumba
Mbinu za utajiri ni ubahiliAhsante sana kwa hints
Nalog off
Mbinu za utajiri ni ubahili.Duh Mkuu umetufokea
Lakin Asante kwa Ushauri
Ingekuwa hivi hakuna ambae angefanya kazi.ukisha maliza kujenga hiyo nyumba halafu unakufwa
ndugu wanaamua bora waiuze halafu hela wanaenda kula bata
ni kama mzoga kuliwa na siafu tu
Usije kuacha ubahili. Muogope Sana ambaye anakuambia tumia pesa ikuzoeeBro mim nlikuwa bahili hadi nakosana na watu ,ila siku hizi nimepunguza ubahili, sijui imekuwaje....all in all ubahili ni ktu kizuri kinakujenga vyema kwenye maisha
Umshike mkono mbongo? We hutujui vizuri waswahiliHongera sanaa,upo sahihi kulingana na mazingira yako ya shughuli za kila siku.
Ila uhalisia wa maisha ya mtanzania ni 5% wenye uwezo wa kuingiza kipato cha 1 million per month.
Nitafurahi pia nikisikia unaendelea kuwa sababu ya wengine kushiriki mafanikio yako kwa kuwashika mkono,maana vilio ni vingi hata humu tunaona vya kukosa ajira.
Bila kusahau waning'iniza funguo[emoji2]Ah ah vijana waendesha crown na kupanga Tabata lazima wake kukunanga na iphone12 zao..all In all ubahili unalipa..mi nmeweza amia kwangu kipindi cha magufuri na hapa najiandaa kujenga nyumba ya Pili...ila washkaji machawa ilibidi niwapunguze...wana wa ukweli familia hawa wengine tunasaidiana maisha tu