Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
Ni kweli hata Ulaya ni kuzuri lakini kuna watu waliumia kuifanya ulaya iwe na maendeleo vile ilivo, ukitaka mafanikio kuna baadhi ya vitu lazima ujisacrifice ili ufikie lengo lakoKweli wewe ni genius, Hawa wenzetu hawajui kitu kinaitwa kizazi. Kuna watu walipoteza maisha yao ili kizazi Cha leo tuishi vizuri.