Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Kweli wewe ni genius, Hawa wenzetu hawajui kitu kinaitwa kizazi. Kuna watu walipoteza maisha yao ili kizazi Cha leo tuishi vizuri.
Ni kweli hata Ulaya ni kuzuri lakini kuna watu waliumia kuifanya ulaya iwe na maendeleo vile ilivo, ukitaka mafanikio kuna baadhi ya vitu lazima ujisacrifice ili ufikie lengo lako
 
anyway kila mtu ana preference zake kwenye maisha ila ni hesabu ndogo tu. kipi heri kutumikia mtu kwa miaka 30 huku ukiwa na maisha average au kujitumikia miaka 10 kwa maana ya kujibana na kuishi maisha ya chini na miaka 20 iliyobaki ukaishi kifalme!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo miaka unayoitaja taja una uhakika gani kwamba utaifikia?
 
hahah
kuna mwingine ameamua awe anaamka saa sita mchana ili asipate gharama ya breakfast.
Ha ha haaaa, jf mna nini lakin unajua nimecheka kwa sauti mpaka kwenye daladala la makumbusho gerezani wamenishangaa.
 
Become greedy when others become fearful and fearful when others become greedy-warren buffet
 
Hii ndio akili, usije hata siku moja ukawathamini machawa.
Kuwa bahili jenga kwa kadri utavyopata, Kama hutaona faida Sasa baada ya miaka 10 au 20 utaona faida yake.
Usikubali wakuite mwana, hili neno mwana linachelewesha Sana maendeleo yako binafsi.
Utasikia "mwana Mtu poa Sana", "mwana Mtu Safi", Mara "mwana sio mchoyo"
Ok
 
asee ubahil sawa lakin nna ndugu yangu hatoi hata mia mwaka mzma ajui kuna mzaz anatakiwa bill ya maji umeme wala kingamuz ajabu mkikutana mwsho wa mwaka hata mboga ya skukuu hanunui na bado shat limepauka kama fundi bati sasa najiulza huyu anaweka hzo hela akalie mbingun au
😃😃Eti fundi bati jf raha sanaaa
 
Back
Top Bottom