Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

Utapeli nilioupata jana,Walinipigia simu wakisema wametoka kitengo cha Bonus cha voda,nimeshinda Laki mbili na simu ya Techno,wakataka kujua mara ya mwisho niliweka shs ngap mpesa? Nikawaambia hivi naongea na nyie nna balance la mia tano,rusheni hiyo laki mbili basi nije voda shop kuchukua techno,mbona walikata simu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2]
Walijiona wameingia chaka kwa kupoteza vocha yao bure kukupigia
 
Mkuu kuna wakati anaweza akaja mtu akakuambia Nina ndugu yangu anataka kunitumia hela sasa mi niko mtandao mwingne naomba atume kwenye Namba ya wakala moja kwa moja na akisha toa ukimpa hela anampiga mhusika apige simu Huduma kwa Wateja aseme amekosea namba nawe kwa unaweza ukapigiwa na mtandao husika kuhusiana na huo mwamala
Kwanini usimwambie mwambie jamaa yake amtumie yeye moja kwa moja?.
 
Back
Top Bottom