Mbio za CHADEMA 334 (CHADEMA Marathon 334)Shiriki sasa! Hujachelewa

Tayari kwa Upigaji wa 334million
IMG-20260717-WA0022.jpg
 
Tayari kwa Upigaji wa 334million
Finaly cdm wamefanikiwa kuruka kile kihunzi cha ruzuku ambacho ccm walikitumia sana kudhoofisha vyama vya upinzani. Ukisikia mabadiliko hayazuiliki ndio hii sasa. Cdm wamegoma kushiriki chaguzi za kihuni, na uchaguzi ukawa wa aibu hadi mauaji.

Wale walikuwa wanatishia kuwa chama kisiposhiriki uchaguzi kinapoteza ushawishi imegeuka kinyume. Uhalisia ni kuwa chama ni ushawishi kwa jamii, sio kutii mifumo ya kihuni. Na nikuhakikishie, ccm inaenda kufa natural death, na ikipoteza dola ndio for good.
 
CHADEMA Marathon 334 ninini?

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.

Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.

Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.

Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.

Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.

Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).

Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Nitashiriki kikamilifu. Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah mnakaribishwa
 
Umenikumbusha michango ya mbio za Mwenge, wafanyabiashara huwa wanatishiwa na wengine kubambikizwa kesi wakikahidi kuchangia!
kwanini wanachadema wakiambiwa wajitokeze kwa wingi kuchoma vituo vya mafuta, kuharibu miundombinu au kupora maduka ya wananchi wanajitokeza kwa wingi sana na kwa haraka sana, but kwenye michango ya kuchangia chama chao hawaonekani kabisa?

nini chimbuko la muujiza huu gentleman?:1Head:
 
CHADEMA Marathon 334 ninini?

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.

Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.

Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.

Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.

Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.

Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).

Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Sawa,chama cha wakakamavu, wenye Nia njema na Nchi Yao!
 
Invalid and void statement,
why milioni mi3 tu it takes days, weeks and months kuichangia, but kupora maduka ya wananchi, kuharibu miundombinu, kuchoma vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu au kusababisha maafa it takes a very short period of time to perform that? :1Head:
 
nashukuru sana gentleman,
butmbona michango ina suasua sana aise, kama vile watu wanalazimishwa bana?
au nini iko nyuma ya pazia? kuna kamgomo au heche na lema wanahujumiana? :NoGodNo:
Toa Tuu nawe ni Mtanzania,tukikamata Dola CCM wakiwa wapinzani,tutakula keki pamoja ya Nchi.
 
CHADEMA Marathon 334 ninini?

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.

Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.

Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.

Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.

Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.

Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).

Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Masahihisho: CHADEMA siyo Chama Kikuu cha Upinzani ni CHAMA KIKUU CHA SIASA NCHINI TANZANIA
 
why milioni mi3 tu it takes days, weeks and months kuichangia, but kupora maduka ya wananchi, kuharibu miundombinu, kuchoma vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu au kusababisha maafa it takes a very short period of time to perform that? :1Head:
Kipimo chako cha kuchukua siku chache ni kipi ikiwa kuna zaidi ya 61 days left?
Wachangiaji sio wale wezi na wabadhirifu wa mali za umma kwamba watachota kwenye mabegi na kuchangia, wanadunduliza kdg kdg, emotionally jambo la kubwa sana lenye kujenga ownership ya chama kwa kila mwanachama na kimsingi is that feeling ndo viongozi wa CDM wana deploy kwa wananchi. Kalaga baho!
 
but kupora maduka ya wananchi, kuharibu miundombinu, kuchoma vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu au kusababisha maafa it takes a very short period of time to perform that? :1Head:
Wale waliofanya huo uhalifu walikuwa uvccm kwa lengo ovu la kupaka matope harakati za ukombozi wa nchi
 
Kipimo chako cha kuchukua siku chache ni kipi ikiwa kuna zaidi ya 61 days left?
Wachangiaji sio wale wezi na wabadhirifu wa mali za umma kwamba watachota kwenye mabegi na kuchangia, wanadunduliza kdg kdg, emotionally jambo la kubwa sana lenye kujenga ownership ya chama kwa kila mwanachama na kimsingi is that feeling ndo viongozi wa CDM wana deploy kwa wananchi. Kalaga baho!
kwani wale wa kupora maduka, kuchoma vituo vya mafuata na kusababisha maafa ya chap chap si ndio hawa hawa wachangiaji gentleman? mbona kule kwenye kushirikana uovu wako shap na huku kwenye kuchangia pesa ushirikiano umedorora? :pedroP:
 
Theoretical sparking, gots no scientific proof. Kwa kifupi unaongea propaganda ambazo hata we binafsi hazikusaidii.
"U better watch ur back" In duduz voice
 
Finaly cdm wamefanikiwa kuruka kile kihunzi cha ruzuku ambacho ccm walikitumia sana kudhoofisha vyama vya upinzani. Ukisikia mabadiliko hayazuiliki ndio hii sasa. Cdm wamegoma kushiriki chaguzi za kihuni, na uchaguzi ukawa wa aibu hadi mauaji.

Wale walikuwa wanatishia kuwa chama kisiposhiriki uchaguzi kinapoteza ushawishi imegeuka kinyume. Uhalisia ni kuwa chama ni ushawishi kwa jamii, sio kutii mifumo ya kihuni. Na nikuhakikishie, ccm inaenda kufa natural death, na ikipoteza dola ndio for good.
Mabadiliko ya nini? Amka kijana unaota Mabadiliko hadi mtakapokua na JWTZ yenu Polisi Wenu TISS yenu
 
Back
Top Bottom