Mbio za CHADEMA 334 (CHADEMA Marathon 334)Shiriki sasa! Hujachelewa

Mabadiliko ya nini? Amka kijana unaota Mabadiliko hadi mtakapokua na JWTZ yenu Polisi Wenu TISS yenu
Nasema hivi, kama una vitega uchumi vyako vya wizi hujakamilisha, kamilisha kabisa, muda umebaki mdogo wa kutoka kimaisha kupitia ccm. Vile vitisho mlivyofanikiwa kudhoofisha vyama vya upinzani, kwa cdm vyote vinafail. Soma alama za nyakati.
 
CHADEMA Marathon 334 ninini?

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.

Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.

Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.

Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.

Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.

Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).

Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
 
Hii ipeleke kwenye Uzi wako mkuu maana bado inasomeka👇

"......Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla...."

Hapo kwenye bold ink isomeke "Shiliingi million 144.2" ili Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wazidi kuchanganyikiwa zaidi na zaidi..
 
Mpaka sasa hesabu imebadilika..! Inakimbiza mbaya
 
Nje ya Kupindua matokeo ya Uraisi 2030 kibabe kabisa.
CCM haishindi dhidi ya Mgombea yeyote atakayegombea kupitia CHADEMA.
Kwa Uongozi huu wa CHADEMA na CCM wameshashituka ndiyo maana figisu ni nyingi.
 
We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
Hilo chawa ,jitu zima hovyo,huku ndani linatumia hii platfom kwa agenda zake...Kusukuma udini kimya kimya ,na hicho chama chake ..
 
Mkitaka hivyo na umma wa Watanzania wazalendo watataka hivyo hivyo. Ilikuwa hivyo kwa Mu7, kwa Kagame, nk.

Wahenga walishasema:
Penye nia pana njia
Kwa Mu7 na Kagame kuna nini? Acha kufananisha Tanzania na Nchi za ajabu taangu October 29 mmekua mkitangaza maandamano na nime notice kitu vijiweni na sehemu zenye population za watu kutafuta opinion kila mtu ana mind his own business ilamradi familia yake inakula inashiba basi. Hata wewe tarehe 7-7-2026 ulikua unachungulia kwenye uzi tuu humu!
 
Watu wanaendelea kuchangia #ToneTone mpaka tufikie lengo.

TUENDELEE KUCHANGIA

M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ

NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
1784471213072.jpg
 
CHADEMA Marathon 334 ninini?

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.

Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.

Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.

Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.

Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.

Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).

Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Sijachangia kesho nitapata pesa nitachangia Tsh 100,000/- Zaka yangu ya mwezi wa July .Mungu apokee Sadaka yangu
 
CHADEMA Marathon 334 ninini?

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.

Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.

Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.

Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.

Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.

Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).

Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Tayari nimeshachangia..
Ngoja tuendelee kuwachangia viongozi wanaofanana na sisi, maana wale wengine viwango vyao ni vya juu sana na walishakataa siyo viongozi wa wanyonge!
CHADEMA pekee ndo imebaki sauti ya wanyonge
 
We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
Kumbe na wewe na Malaya wa CCM unatumia Makario kufikiria !

Blocked and Ignored katike viuno huko
 
Mmeisha shiriki broooo!
Upo wapi nipo mbezi kibanda cha mkaa njoo please
 
Attachments

  • IMG_20260717_162111_011.jpg
    IMG_20260717_162111_011.jpg
    265.6 KB · Views: 11
  • IMG_20260717_162050_730.jpg
    IMG_20260717_162050_730.jpg
    229.7 KB · Views: 15
  • IMG_20260717_162046_953.jpg
    IMG_20260717_162046_953.jpg
    253.7 KB · Views: 13
Nje ya Kupindua matokeo ya Uraisi 2030 kibabe kabisa.
CCM haishindi dhidi ya Mgombea yoyote atakayegombea kupitia CHADEMA.
Kwa Uongozi huu wa CHADEMA na CCM wameshashituka ndiyo maana figisu ni nyingi.
Wenyeviti
Chadema Tundu Lissu
CCM Samia Suluhu Hassan

Makamu Wenyeviti
Chadema John Heche
CCM Stivin Wassira

Katibu Wakuu
Chadema JJ Mnyika
CCM Asha-Rose Migiro

Hebu angalia hapo huo Uongozi ulivyo
Hao CCM ni Saizi ya Mwenyekiti wa Bavicha tu wote watatu.
 
Back
Top Bottom