Vacuum flask?
Redio kuuubwaaaaa,bendi moja!Bichwa kuuubwa medulla kiduchu😀
Hili tu pekee ndilo linalohitaji marekebisho katika taarifa hiyo muhimu.CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.
Kwa bahati mbaya sana, hakuna linaloshindikana kwa hao "wapuuzi"; tuombe tu akili zisiwapeleke huko.Wapuuzi Sana hawa
Hili tu pekee ndilo linalohitaji marekebisho katika taarifa hiyo muhimu.
CHADEMA siyo "chama kikuu cha upinzani nchini..."; ni CHAMA KIKUU cha siasa nchini.
Hili ni jambo linalotakiwa kueleweka hivyo, na hakuna sababu ya kulionea haya au kulificha.
Lengo litafikiwa na kusaza.
Ni furaha isiyo kifani kujuwa unachangia ukombozi wa taifa lako. Mungu anaipenda sana Tanzania. Hataacha taifa hili liangamie.Sijachangia kesho nitapata pesa nitachangia Tsh 100,000/- Zaka yangu ya mwezi wa July .Mungu apokee Sadaka yangu
Ni ujumbe usiokuwa na shaka yoyote kwa wahusika.
'Preciousvision' kwa maandishi ya namna hii?We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
Yaani hata hamna aibu kabisa kuonyesha jinsi mlivyo wapuuzi ?Hilo chawa ,jitu zima hovyo,huku ndani linatumia hii platfom kwa agenda zake...Kusukuma udini kimya kimya ,na hicho chama chake ..
Na ile taarifa ya britanicca ya kublock account za CHADEMA ni kweli au ubabaishaji ?
Peleka ujinga wako ,halafu sipendi unafiki na huyo jamaa wako ...Kama ni mgalatia mambo ya waislamu hayakuhusu...kaa kwa kutulia ,angalia huyo mnafiki wako.'Preciousvision' kwa maandishi ya namna hii?
Yaani hata hamna aibu kabisa kuonyesha jinsi mlivyo wapuuzi ?
Ni kipi hasa mnachoweza kueleza kuhusu utawala wa Samia ambacho ndicho kinawafanya muwe na akili mbovu kiasi hiki?
Wewe unayezungumzia "udini"; umeuona wapi katika maandishi ya huyo unayemshutumu kama si kwamba udini ndio unaokusumbua wewe?
Hizo fununu zipoNa ile taarifa ya britanicca ya kublock account za CHADEMA ni kweli au ubabaishaji ?
Hahahahaa!! Umenikumbusha chemical apparatuses, sasa hizo mbuzi watumia account ya Tlaatlaah hawana tofauti na apparatuses za Lumumba House. Wakutumika kama Condom. I'm glad sioni uchafu wao nowadays; ultimately, it has made me not engage with their nuisances at all. Nawapunguza wengi, Thanks to Maxence Melo Jamii forums ina Ignore segment.Vacuum flask?