Nasema hivi, kama una vitega uchumi vyako vya wizi hujakamilisha, kamilisha kabisa, muda umebaki mdogo wa kutoka kimaisha kupitia ccm. Vile vitisho mlivyofanikiwa kudhoofisha vyama vya upinzani, kwa cdm vyote vinafail. Soma alama za nyakati.Mabadiliko ya nini? Amka kijana unaota Mabadiliko hadi mtakapokua na JWTZ yenu Polisi Wenu TISS yenu
Mkitaka hivyo na umma wa Watanzania wazalendo watataka hivyo hivyo. Ilikuwa hivyo kwa Mu7, kwa Kagame, nk.Mabadiliko ya nini? Amka kijana unaota Mabadiliko hadi mtakapokua na JWTZ yenu Polisi Wenu TISS yenu
We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!CHADEMA Marathon 334 ninini?
CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.
Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.
Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.
Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.
Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.
Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).
Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Hii ipeleke kwenye Uzi wako mkuu maana bado inasomeka👇
Mpaka sasa hesabu imebadilika..! Inakimbiza mbayaHii ipeleke kwenye Uzi wako mkuu maana bado inasomeka👇
"......Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla...."
Hapo kwenye bold ink isomeke "Shiliingi million 144.2" ili Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wazidi kuchanganyikiwa zaidi na zaidi..
Jifarijiwhy maneno maneno tu mitandaoni na vitendo ni zero? changamoto ni nini?
Hilo chawa ,jitu zima hovyo,huku ndani linatumia hii platfom kwa agenda zake...Kusukuma udini kimya kimya ,na hicho chama chake ..We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
Kwa Mu7 na Kagame kuna nini? Acha kufananisha Tanzania na Nchi za ajabu taangu October 29 mmekua mkitangaza maandamano na nime notice kitu vijiweni na sehemu zenye population za watu kutafuta opinion kila mtu ana mind his own business ilamradi familia yake inakula inashiba basi. Hata wewe tarehe 7-7-2026 ulikua unachungulia kwenye uzi tuu humu!Mkitaka hivyo na umma wa Watanzania wazalendo watataka hivyo hivyo. Ilikuwa hivyo kwa Mu7, kwa Kagame, nk.
Wahenga walishasema:
Penye nia pana njia
Sijachangia kesho nitapata pesa nitachangia Tsh 100,000/- Zaka yangu ya mwezi wa July .Mungu apokee Sadaka yanguCHADEMA Marathon 334 ninini?
CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.
Lengo kuu la kampeni hii ni kukusanya kiasi cha Shilingi Milioni 334 za Kitanzania ili kufanikisha shughuli mbalimbali za chama.
Fedha zitakazopatikana kwenye kampeni hii zitatumika kugharamia na kuandaa mkutano mkuu ujao wa chama unaojulikana kama Baraza Kuu la Umma.
Mkutano huu muhimu umepangwa kufanyika tarehe 15 Septemba 2026.
Ndani ya wiki ya kwanza tu tangu kuzinduliwa kwa kampeni hii mnamo Julai 2026, chama kilifanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 81 kutoka kwa wanachama, wapenzi, na wananchi kwa ujumla.
Kwa wadau na wafuasi wanaotaka kuchangia kampeni hii ya ukusanyaji wa fedha, chama kimetoa njia rasmi na salama za malipo.
Unaweza kutuma mchango wako kupitia M-Pesa kwenda namba 0744446969 (Jina la Akaunti: CHADEMA HQ) au kupitia Benki ya NMB kwa namba ya akaunti 22606600140 (Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo).
Kuwa sehemu ya mabadiliko.. Changia sasa🔥
Updates.
Mpaka leo tayari 145M🔥🔥🔥
View attachment 3632395
Tayari nimeshachangia..CHADEMA Marathon 334 ninini?

Kumbe na wewe na Malaya wa CCM unatumia Makario kufikiria !We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
WenyevitiNje ya Kupindua matokeo ya Uraisi 2030 kibabe kabisa.
CCM haishindi dhidi ya Mgombea yoyote atakayegombea kupitia CHADEMA.
Kwa Uongozi huu wa CHADEMA na CCM wameshashituka ndiyo maana figisu ni nyingi.