Mbio za CHADEMA 334 (CHADEMA Marathon 334)Shiriki sasa! Hujachelewa

CHADEMA Marathon 334 ni kampeni maalum ya kuchangisha fedha iliyozinduliwa na chama kikuu cha upinzani nchini Tanganyika.
Hili tu pekee ndilo linalohitaji marekebisho katika taarifa hiyo muhimu.
CHADEMA siyo "chama kikuu cha upinzani nchini..."; ni CHAMA KIKUU cha siasa nchini.

Hili ni jambo linalotakiwa kueleweka hivyo, na hakuna sababu ya kulionea haya au kulificha.

Lengo litafikiwa na kusaza.
 
 
Sijachangia kesho nitapata pesa nitachangia Tsh 100,000/- Zaka yangu ya mwezi wa July .Mungu apokee Sadaka yangu
Ni furaha isiyo kifani kujuwa unachangia ukombozi wa taifa lako. Mungu anaipenda sana Tanzania. Hataacha taifa hili liangamie.
 
TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 150 ✌️

Sasa tumebakiza TSh. Milioni 17 pekee kufikisha nusu ya lengo letu la TSh. Milioni 167

Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 inaendelea

M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ

NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
 
We unaaibisha wapare, ni jitu la hovyo lisilojitambua, hiyo Tanganyika imeandikwa kwenye cheti chako cha kuzaliwa? Ndiyo maana watanzania wanawaita nyumbu, zero brain!
'Preciousvision' kwa maandishi ya namna hii?
Hilo chawa ,jitu zima hovyo,huku ndani linatumia hii platfom kwa agenda zake...Kusukuma udini kimya kimya ,na hicho chama chake ..
Yaani hata hamna aibu kabisa kuonyesha jinsi mlivyo wapuuzi ?
Ni kipi hasa mnachoweza kueleza kuhusu utawala wa Samia ambacho ndicho kinawafanya muwe na akili mbovu kiasi hiki?

Wewe unayezungumzia "udini"; umeuona wapi katika maandishi ya huyo unayemshutumu kama si kwamba udini ndio unaokusumbua wewe?
 
Peleka ujinga wako ,halafu sipendi unafiki na huyo jamaa wako ...Kama ni mgalatia mambo ya waislamu hayakuhusu...kaa kwa kutulia ,angalia huyo mnafiki wako.
 
Vacuum flask?
Hahahahaa!! Umenikumbusha chemical apparatuses, sasa hizo mbuzi watumia account ya Tlaatlaah hawana tofauti na apparatuses za Lumumba House. Wakutumika kama Condom. I'm glad sioni uchafu wao nowadays; ultimately, it has made me not engage with their nuisances at all. Nawapunguza wengi, Thanks to Maxence Melo Jamii forums ina Ignore segment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…