Mbona Anna Tibaijuka ana hasira hivi kila wakati kuhusu uwekezaji wa DP World?

Nalazimika kuamini. Kuna kitu kinamtesa huyu mama zaidi; hiy0 ni 'nitoke vp yake' tu.
Mimi nilikuwa namfuatilia na alianza kuponda kwa kusema dubai ni mshindani wetu kweny transhipment kama mnakumbjka ndio point ya kwanza kabla hata hajachambua mkataba ,.
 
Mimi nilikuwa namfuatilia na alianza kuponda kwa kusema dubai ni mshindani wetu kweny transhipment kama mnakumbjka ndio point ya kwanza kabla hata hajachambua mkataba ,.
yupo sawa analinda mali za tanganyika hata kama analinda masila yake bandari ni mali ya tanganyika
Mkataba ni mbovu dunia nzima
 
Professor hatani na hao vibwengo Bibi zenu, huyo akili ni nyingi sana, alishasema sitaki niwe kwenye record mbaya kwa wajukuu zangu wa nchi hii, tunza record, hilo bibi lenu lipeni muda tu ni matope
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
 
Kwann humuongelei Dk Tulia Ackson?? Huyu Tulia Ackson ndiye mwenye hasira sana na wanaopinga DPW..
 
Sio tabu kwa hili hapa yupo sahihi anatetea mali ya tanganyika
Kwaiyo wewe unavo tetea dp world tukuelewaje sisi wa tanganyika
ESCROW alizingua
Hana points sasa ni ushabiki tu ... Tamaa zake wasaliti hatuwataki.
 
Hela ya madafu na mboga mboga ikiisha lazima kelele ipaeee🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…